Mzee Kikwete, kama hamtaki Dini Kuchanganywa na Siasa mbona CCM na Serikali mnawatumia Kimaombi katika Shughuli zenu?

Ndugu Wana habari nimewahiteni Hapa juu ya Jambo moja ambalo sisi Kama raia wa wazalendo hatuwezi kukaha kimya Bila kutolea maelezo .kwa sababu kukaha kimya siyo sawa jamii itapotoshwa hvyo nimeona nijitokeze kuwaeleza na kujibu hoja za jk ambazo zinaleta utata

Ndugu zangu waandishi
Hivi Jana rais mstaafu ndugu kikwete alijitokeaa hadharani kuongelea swala la kuchanganya dini na siasa ktk ishu hi ya mjadala mzito unaoendeleea hivi sasa wa mkataba wa uwekezeji Kati ya serekali na dp World

Na kauliza zake zimekuja mda mfupi baada ya tamko rasmi la baraza kuu la maskofu "Tec" kukutaa kuunga mkono mkataba baina ya serekali ya Tanzania na Emirates ya Dubai .

Inisikitasha Sana kuona kuwa ndugu kikwete ameshindwa kujuwa kuwa wananchi na Rai hawautaki mkataba huu wa kinyonyaji na Bado chama chake wameziba masikio hawatakaa kuufuta mkataba

Amesahau kuwa Ni serekali hi hi ya awamu hi hi ndio iliwaita viongozi wa dini kuwaelewesha juu ya mkataba huu wa dp world na vingozi hao hao leo kutoa maoni Yao na msimamo wao jk anasema viongozi wa dini wanachanganya siasa na dini kitu ambacho siyo kweli ..serekali ndio inajikomba kwa viongozi wa dini ushaihid upo Sana

Akumbuke kuwa Hakuna hata siku moja viongozi wa dini walijialika ktka shughuli zao za kisiasa Mara nyingi sana Ni serekali ndio inawahita viongozi Hawa kwenye mikutano na shughuli zao ya kisiasa na kuomba kuombewa nao Sasa leo jk anapata wapi uhalali wa kutamka hayo maneno

Mkutano utakuwapo

Ktk hoteli ya Serena hotel

Muda saa 11:00 Hadi saa 11:30 pm

Taarifa Zaid itatolewa
 

Nilipo soma tu umewahita sikutaka hata kujua unasema nini kuandika tu huwezi je kuzungumza
 
Tuwapuuze hawa watu kwani wamekuwa na lugha za ajabu za kutupumbaza ili waendelee kutufanyia ufisadi kila uchwao!
Kwa taarifa yao; ni mwendo wa kuchanganya dini na siasa na siasa dini hadi kieleweke!
 
Hivi mzee hana wajukuu wa kucheza nao na kuwasimulia hadithi?😎🙊
 
Hii madini ya ukweli, mi nahumia kweli watu Kama nyinyi kwanini hampewi teuzi.[emoji2935]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…