Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Hakuna aliekwenda jela bali walizitapika pesa zote walizokwibaHivi yule mwehu, kuna kesi yoyote alizowabambikia watu za uhujumu uchumi, kuna waliohukumiwa vifungo vya jela ?
Yes kina Corona walipita naeCorona bana,acheni kusingizia watu
Kwa kauli yake wanae waliugua corona,watu wa karibu waliugua wengine wakafa,yeye shida ya moyo na corona ingekua ngumu kupona,mpango mwenyewe alinusurikaSio kina Corona walipita nae
Anakutafuna kimyakimya.Sema JK ni mwanadamu wa kipekee sana. Watu wa aina yake huwa wanaishi maisha marefu sana.
Jamaa hajawahi kujali maneno ya watu no matter how serious the issues are.
Hata malikia wa uingereza aliishi miaka mingi ila........Sema JK ni mwanadamu wa kipekee sana. Watu wa aina yake huwa wanaishi maisha marefu sana.
Jamaa hajawahi kujali maneno ya watu no matter how serious the issues are.
Miraji mtoto mdogo Sana,humchanganyi na ridhwani kweli!?..miraji wa 1980s mwishoniMiraji na Manji wote wahuni wa unga tu
Yeah,alilijua tatizo siku nyingi, sababu mgao ulianza mapema 1990s,so alikua na utatuzi wake kichwaniAkiwa Rais wa nchi??
Mradi gani ulianzishwa kwa pesa za mafisadi!?..plea bargain imekuja mwishoni na pesa wahuni wameficha china Wala si kwenye akaunti ya serikali,miradi alikopaHakuna aliekwenda jela bali walizitapika pesa zote walizokwiba
au hukuona miradi ilivyoanzishwa kwa fujo
Sasa wa 80s hawavuti unga?najua hauzi ila anatumiaMiraji mtoto mdogo Sana,humchanganyi na ridhwani kweli!?..miraji wa 1980s mwishoni
Huyu nae ni kenge na mnafiki tu, "mtoto" Wako anateswa na Rais aliyeko madsrakani, na wewe ndie ulimkabidhi kijiti,unashindwa kumsaidia? Fucking coward! Kwamba ulijua yataisha, inaaama ulijua Maghu atakufa kwanza kabla ya Manji? So pathetic! Maghu angekuwepo ungeweza kuyasema hayo?Jana ilifanyika dua ya kumuombea mfanyabiashara hayati Yusuph Manji katika viwanja vya Karimjee na mmoja wapo ya watu mashuhuri waliokuwepo ni Jakaya Kikwete, Rais mstaafu wa awamu ya nne.
Katika hadhara hiyo, JK akapata wasaa kuongea, anasema kwake yeye Manji alikuwa kama mwanae na alimlea kwani aliachiwa usia na baba yake Manji la jukumu la malezi ya Yusuph.
JK akaongeza zaidi, kuna wakati Yusuph alinipigia(kipindi hiko nimeshatoka madarakani) akawa analalamika kuwa wanamuonea wanambambikia makesi na mambo mengineyo.
Nikamshauri akae kimya kwani nilijua siku moja yatapita tu, Yusuph alikuwa ana urafiki mkubwa sana na mwanangu Miraji.
Stori za matajirJana ilifanyika dua ya kumuombea mfanyabiashara hayati Yusuph Manji katika viwanja vya Karimjee na mmoja wapo ya watu mashuhuri waliokuwepo ni Jakaya Kikwete, Rais mstaafu wa awamu ya nne.
Katika hadhara hiyo, JK akapata wasaa kuongea, anasema kwake yeye Manji alikuwa kama mwanae na alimlea kwani aliachiwa usia na baba yake Manji la jukumu la malezi ya Yusuph.
JK akaongeza zaidi, kuna wakati Yusuph alinipigia(kipindi hiko nimeshatoka madarakani) akawa analalamika kuwa wanamuonea wanambambikia makesi na mambo mengineyo.
Nikamshauri akae kimya kwani nilijua siku moja yatapita tu, Yusuph alikuwa ana urafiki mkubwa sana na mwanangu Miraji.
Usicheze na Katiba Hii Mkuu? Ni noma.Kwa nini alimwambia akae kimya tu badala ya kumtetea??
Hakuna hela yoyote iliyotemwaHakuna aliekwenda jela bali walizitapika pesa zote walizokwiba
au hukuona miradi ilivyoanzishwa kwa fujo
Sema mzee wa Msoga I admire you sio we admire you, we wewe na nani? That man is a disgrace to our country. Hii nchi ilipata bahati mbaya sana na hasara kubwa kuongozwa na huyo mzee.JK ndiyo mzee wetu aliyebakia, hatuwezi kumpinga.
Mzee wa mSOGA, we admire him!
Alimwambia yatapita tu, na kweli yakapita kweliKwa nini alimwambia akae kimya tu badala ya kumtetea??