Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Wee nawe huelewi eeh?Alishindwa kumtetea mwanae Manji wakati anaonewa, why should we admire him??
No 😂,you are either jealous of the comrade kikwete or just exugarations...Uhalisia ni kwamba, mzee Kikwete ni megalomaniac; the actual psychological term for his condition is evading me currently.
Ni mtu wa me, me and me.
Kibongo bongo ni ngumu kuona his mental condition.
I think JK alipokuwa anampa maneno hayo manji alikuwa pia anamuimbia nyimbo ya Diamond ya 'Yatapitaaaah,Yana Mwshooo'...Alijuaje kama yatapita tu!
You only need to hear how self centred he is on everything he explains.No 😂,you are either jealous of the comrade kikwete or just exugarations...
You are getting it wrong brother,you mess up with him,you will enjoy his crocodile smile and get prepared for beautiful consequences thereafter...hajawahi kujali??Sema JK ni mwanadamu wa kipekee sana. Watu wa aina yake huwa wanaishi maisha marefu sana.
Jamaa hajawahi kujali maneno ya watu no matter how serious the issues are.
let say it is, Does it it help anything Mr MayorUhalisia ni kwamba, mzee Kikwete ni megalomaniac; the actual psychological term for his condition is evading me currently.
Ni mtu wa me, me and me.
Kibongo bongo ni ngumu kuona his mental condition.
The term has just popped up, Jakaya Kikwete ni narcissist, I have said it before; only that many of you can’t see what he is.
And his narcissism problem psychologically is a very serious, yeye ni me, me and me. The old chap has serious mental issues.
The pattern of behaviour is obvious choosing to detect it, or ignore; is not my problem. But his mental issues are obvious for an objective mind.
Sema JK ni mwanadamu wa kipekee sana. Watu wa aina yake huwa wanaishi maisha marefu sana.
Jamaa hajawahi kujali maneno ya watu no matter how serious the issues are.
Alijuwa "yatapita tu". Ina maana kubwa sana kwa wenye uelewa.Kwa nini alimwambia akae kimya tu badala ya kumtetea??
Hata is isingekuwa corona kwani ye nani asifeCorona bana,acheni kusingizia watu
Alijuaje yakipita Manji atakuwepo??Alijuwa "yatapita tu". Ina maana kubwa sana kwa wenye uelewa.
Binadamu tumeumbwa kusahauSema JK ni mwanadamu wa kipekee sana. Watu wa aina yake huwa wanaishi maisha marefu sana.
Jamaa hajawahi kujali maneno ya watu no matter how serious the issues are.
That's why I said you either jealous of him, noticed you are troubled by realizing the fact that JK has touched almost every angle of prominent blocks of this country,well, but that's reality my brother,don't envy him...You only need to hear how self centred he is on everything he explains.
He has psychological issues (narcissism).
Nimekuwa nikisema hivyo kwa miaka, labda wengine amumuoni tu.
Hiyo ni changamoto kubwa katika utawala.Mzee anajuana na Kila bwanyenye
It doesn’t in all honest, but it should be known to reasonable people.let say it is, Does it it help anything Mr Mayor
Kwani Manji hakuwepo?Alijuaje yakipita Manji atakuwepo??
There is blind support to people and facts.That's why I said you either jealous of him, noticed you are troubled by realizing the fact that JK has touched almost every angle of prominent blocks of this country,well, but that's reality my brother,don't envy him...
Ni mtoto wa mjini kitambo,toka enzi za Nyerere,kiungo mchezeshaji mahiri.
Quality garage ipo kabla ya Nyerere.Mzee anajuana na Kila bwanyenye