Mzee Kikwete: Manji alinambia wanamuonea, nikamshauri akae kimya kwani yatapita tu

Ni kauli ya kijinga sana ukiifikiria kwa kina. Pamoja na mengine, ina chochea conspiracy theories, pengine ndiyo lengo lake, lakini inampa taswira hasi machoni mwa baadhi ya watu.
Mjinga hutia maana sizokuwepo.
Waislam tunafahamu maana ya "subira. Tunamuelewa sana alichokisema.
 
Na haya nayo yatapita tu 😳😅🙏🙌
 
Iko vile 🙄
Dunia ni tambara bovu tu !
What’s so ever !
 
Kwahiyo Kikwete na wewe mnaishi katika nchi ya kiislamu ya Tanzania?? Unazeeka vibaya, kadri siku zinavyosogea, ndivyo unavyozidi kuwa mjinga.

Jitafakari…
Naam, kumbe unafahamu, ardhi, mimea na viumbe vyote ni Waislam, kasoro wale wanaokufuru tu.
 
Huyu mzee ni mwongo sana
 
Manjis masidili ya mzee ndio alikuwa msimamizi kbla ya GSM hakukuwa na urafik wowote hapo ni hao walikuwa wafanya biasgara
 
Basi Nenda nawewe msibani Kwa Manji tuone kama ungepewa maiki na platform ya kujimwambafy...

Wivu tuh unakusumbua,hakuna aliewambia Babu zako wachelewe kuja mjini,ni makosa Yao wenyewe ona Sasa Mjukuu wao umekosa fursa umebakia na makasiriko tuh.
 
Kwahiyo wewe unashangaa kuwa bwawa la JNHPP na SGR Kwa kikwete kuwepo?

Unasahau kuwa yeye ni Rais Mstaafu?
Wewe unataka kila Siri za nchi uambiwe?
 
!
Sema mzee wa Msoga I admire you sio we admire you, we wewe na nani? That man is a disgrace to our country. Hii nchi ilipata bahati mbaya sana na hasara kubwa kuongozwa na huyo mzee.
Hii takataka JK ni mnafiki wa hali ya juu! Anatoa meno kama mbwa anayetaka kuuma akijifanya anasmile lakini nia ovu kibao! muulize mamvi EL rafiki yake alimfanya nini.
Katiba mpya ameapprove imefika mlangoni anawahi kuisimamisha!! JAKAYA the devil incarnation. a disgrace to Tanganyika
 
Kwahiyo wewe unashangaa kuwa bwawa la JNHPP na SGR Kwa kikwete kuwepo?

Unasahau kuwa yeye ni Rais Mstaafu?
Wewe unataka kila Siri za nchi uambiwe?
Shida ni pale anapojaribu kuelezea hata mobilisation of funds kaanzisha and early project initiatives.

Anyway siwezi kukubishia blind supporter, maana hiyi ni mifano midogo when it comes JK me me me initiatives za nchi hii na mipango ya CCM.

Sidhani kama ata yeye mwenyewe anajisikiliza na kuona the megalomaniac he is.

Kwa audience ya Tanzania sawa ila kama story zake ndio zile akikutana viongozi wa nchi wakitoka hapo, his reputation will be the guy is full of himself and his grandiose.

JK ni narcissistic

Good Morning
 
Anko Magu ndio mwalimu wao kaka,yeye alikua wa kwanza kufuta na kudogosha jitihada na credit zote za waliomtangulia na kujitanguliza yeye. Sasa hivi hayupo watu at least wana claim mchango wao unaanza kuwaita narcissist. Anyway Narcissism is part of human hakuna mtu asie kua nayo tunazidiana tu.

So point yako ni irrelevant sababu kama kila mtu anaweza kua narcissist means no One is.
 
Magufuli has evidence to back up his talk.

Si wote tunajua toka hilo bwawa la JNHPP alijajengwa na mzozo wa mazingira.

Mkandarasi kapatikana kipindi cha Magufuli.

Mkandarasi ndio mwenye project initiating document (PID), project charter and the project cost.

Mkandarasi ndio mwenye project plan (ambayo wataalamu wetu wamejifunza along the way)

Mkandarasi ndio anatoa offer ya kujenga mradi given his PID, project estimate costs na jukumu la serikali kutafuta funding given the contractor plans.

Sasa ni wapi JK alihusika katika hiyo process.

Similarly kwenye SGR utaratibu ni huo huo unaanzia kwenye PID.

Huyo babu anahitaji psychological help, what does he take us for, hatujui abc za project process kama yeye.

Hiyo mipango aliyoanzisha yeye ipo kwenye kichwa chake tu, ila sio kwa taratibu za miradi tuliyoona wakati inaanza.
 
Kikwete huwa anakuwa na vi stories vya kuungaunga ambavyo ukivifikiria hapa kazungumza nini cha maana unakosa.

Mtu anakwambia kaonewa unamwambia yatapita? Ujinga gani huo?

Kakubali nchi haina mifumo ya kutafuta haki?
 
Kikwete huwa anakuwa na vi stories vya kuungaunga ambavyo ukivifikiria hapa kazungumza nini cha maana unakosa.

Mtu anakwambia kaonewa unamwambia yatapita? Ujinga gani huo?

Kakubali nchi haina mifumo ya kutafuta haki?
He is full of self grandiose on his anecdotes, as if we all don’t understand what it takes to accomplish the mission he wants to get credit for.

Kila kitu kizuri yeye kahusika uanzishwaji wake either akiwa waziri au raisi. Close to a pathological liar.
 
Make sense lakini hivo vyote alivofanya una uhakika Gani kua japo mkandarasi na mradi ulianza awamu ya 5 ila plan na mawazo yapo toka awamu ya nne? So maybe Kikwete anatake credit zake kiroho safi tu kama Anko magu alivokua anafanya kipindi cha Uhai wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…