Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ukiwasikikiza Magufuli na Kikwete utaona kwamba, Magufuli alikuwa anahimiza sana nyumba ijengwe imalizwe haraka. Akitaka nyumba ikamilike January.Huenda alizuga tu, hakupenda jinsi walivyojianika vile hali maisha ya wananchi ni duni mno hususani makazi kwa watumishi wa umma waliopo kazini na waliostaafu. Unavyofahamu ndivyo wengi wetu tunavyofamu pia.
Kikwete, ametumia diplomasia kusema "tutashukuru sana" kwa rais wake. Lakini pia amepooza ile kasi ya Magufuli kwa kutaka mambo yafanywe kwa uhakika bila kuharakisha ili watu wasilipue kazi.
Ndipo hapo kasemq makubaliano ni akabishiwe nyumba March. Hakuna haja ya kuharakishq sana kumqliza nyumba kabla ya hapo, kwa sababu, alikiopanga sasa hivi hajafukuzwa.
Kwa tunaojua kusikiliza mtu Kiswahili cha ndani, kile kilikuwa ni kama kijembe katumiwa Magufuli. Whether consciously or subconsciously.
Kikwete kupanga labda aamue tu.Nyumba yake ya Migombani St tunaambiwa sasa hivi hakai mtu. Na imetoka kufanyiwa ukarabati wa nguvu na serikali muda si mrefu.