Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kikwete ameamua kuwatukana Watanzania bila hata soni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maana nyingine wapewe Wapangaji waliofukuzwa walikopanga!!Hiyo lugha ya picha tu, maana yake nyumba yenu nimeipokea lakini sio kila kitu kwangu ndio maana nilikopangwa sijafukuzwa.
Usithubutu kuchaguaLissu yeye atawajengea hadi akina robati Nyumba huko Ulaya kwa Kodi za Watanzania,Bora Magu anawajengea Watangulizi wake hapa hapa Tz!!Chagua Lissu kwa katiba mpya inayomgusa kila mwananchi, tuachane na katiba ambayo inamuongezea aliye nacho tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejiuliza sana sijui iyo sheria ilipitishwa vipi.umasikini hauwezi kuisha kwa nchi zetu za Kiafrica Sasa Mzee Kama Mwinyi unampa jumba lote lile la niniIle ilikuwa joke tu ili achomekee ujumbe wake bila kumkwaza au kuonekana anapingana na JPM. Yeye kusema ni kuwa wasiharakishe saaana ujenzi na kuharibu quality maana Rais aliagiza nyumba iishe by Jan 2021.
Tukichukulia kila kauli seriously, tutakufa kwa BP mapema sana
Pamoja na hayo, hii kufuru ya kuwajengea hawa watu mahekalu inatia ukakasi kidogo.
Kikwete hakua Mwizi,ni Mzalendo halisi!!Hahaha msidanganyike, Makonda alikuwa mkuu wa wilaya na Mkoa kwa miaka 4tu, kajenga maghorofa.
Kikwete kawa rais kwa miaka 10, waziri miaka 15, kanali wa jeshi, halafu akwambie kapanga nawe masikio yakusimame, hizo akili au matope?!
Hahaha unahitaji kuiba ili kujenga nyumba?!Kikwete hakua Mwizi,ni Mzalendo halisi!!
ninakubaliana na weweKama ulimsikiliza vizur alisema aliwaambia sarcastically so sio kwel kwmb amepanga
Alikuwa anajoki,kikwete hajapanga popote,anakaa kwake msoga na akija dar anakaa mikocheni kwakeHuyu Jakaya kikwete Rais mtaafu amenishangaza sana jana kwa kauli yake ya kuishi nyumba ya kupanga na bado ana mkataba na mwenye nyumba.
Kichangia neno katika kupokea nyumba za vingozi mzee Kikwete bila aibu ametoa kauli ya kuzua chuki na taharauki kubwa sana kwa mtu kama mimi mwenye kumfahamu Kikwete kwa upana.
Kikwete amekuwa Naibu Waziri kwa miaka mingi, Waziri wa Mambo ya Nje kwa miaka 10 na Rais miaka 10, leo analalamika kupanga.
Amelipwa zaidi ya million 12×10 kama Waziri wa Mambo ya Nje achiliambali vyeo vyake huko nyuma.
Amelipwa million 36×10 kama Rais na marupurupu kibao. Pamoja na kiinua mgongo cha karibu nusu Billion, bado Kikwete analipwa mafao ya kutia simanzi kwa mtu wa kawaida.
Amejengewa nyumba (Ikulu ndogo) msonga na Suma JKT akiwa hata hajastaafu. Ukiingia Msoga utashangaa sana ukubwa wa Ikulu ile na miundombinu yake ya nchi zilizoendelea.
Amejengewa nyumba Bagamoyo kwa mamake na Suma JKT. Ni nyumba ya kufuru.
Ana nyumba karibu kila mkoa na mitaa kibao hapa Dar, achilia mbali alizojenga nje South Africa na Dubai.
Kwa kauli aliyoitoa jana, inatia simanzi na unafiki mkubwa sana kuwa amepanga. Je, mzee Kikwete anataka kumdanganya nani kuwa anaishi maisha ya shida na amepanga so wamjengee taratibu tena kwa uimara mkubwa?
Kama ulimsikiliza na kumwangalia Kikwete usoni, alionesha kutofurahishwa na ujenzi na kuona kama hakuridhika na ile nyumba ambayo kwa mtu wa kawaida hata tajiri ungeiona kuwa ya mapesa mengi.
USSR
Sisi Wajuku zake Mwinyi tutajifunzia mpira humo,wala usiwe na wasiwasi!!Nimejiuliza sana sijui iyo sheria ilipitishwa vipi.umasikini hauwezi kuisha kwa nchi zetu za Kiafrica Sasa Mzee Kama Mwinyi unampa jumba lote lile la nini
Magufuli bora hata angewajengea CDM kale ka office kao pale Ufipa, maana ka office kanatia huruma sana Kama kamekondeyana wakati Viongozi CDM wamenona!!Nimejiuliza sana sijui iyo sheria ilipitishwa vipi.umasikini hauwezi kuisha kwa nchi zetu za Kiafrica Sasa Mzee Kama Mwinyi unampa jumba lote lile la nini
Mbona viongozi wastaafu tunasikia wamepolomosha majumba huko South Africa,Usithubutu kuchaguaLissu yeye atawajengea hadi akina robati Nyumba huko Ulaya kwa Kodi za Watanzania,Bora Magu anawajengea Watangulizi wake hapa hapa Tz!!
Umenikumbusha kwenye kula za vyama vingi , mwalimu Nyerere aliwapa wachache kwa sababu alijua wengi hawana akili zaidi wanafuata mikumbo tu ni wachachewanasemaga wengi wape hata kama ni wajinga hatuna jinsi