Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikwete hakua Mwizi,ni Mzalendo halisi!!
sasa ivi anawataja na majina kabixa kwamba flan na flan karibun tile mfano GwajimaaaaaaaCha ajabu ana shauku ya maendeleo yenye kasi kwa kuumiza watu wengine lkn yeye,familia yake na marafiki zake wala hua hawaumizwi na kasi hio ya maendeleo.
Inamaana gani mnamasacrcastic
Huna pointi,acha ulalamishi usio na maanaHuyu Jakaya kikwete Rais mtaafu amenishangaza sana jana kwa kauli yake ya kuishi nyumba ya kupanga na bado ana mkataba na mwenye nyumba.
Kichangia neno katika kupokea nyumba za vingozi mzee Kikwete bila aibu ametoa kauli ya kuzua chuki na taharauki kubwa sana kwa mtu kama mimi mwenye kumfahamu Kikwete kwa upana.
Kikwete amekuwa Naibu Waziri kwa miaka mingi, Waziri wa Mambo ya Nje kwa miaka 10 na Rais miaka 10, leo analalamika kupanga.
Amelipwa zaidi ya million 12×10 kama Waziri wa Mambo ya Nje achiliambali vyeo vyake huko nyuma.
Amelipwa million 36×10 kama Rais na marupurupu kibao. Pamoja na kiinua mgongo cha karibu nusu Billion, bado Kikwete analipwa mafao ya kutia simanzi kwa mtu wa kawaida.
Amejengewa nyumba (Ikulu ndogo) msonga na Suma JKT akiwa hata hajastaafu. Ukiingia Msoga utashangaa sana ukubwa wa Ikulu ile na miundombinu yake ya nchi zilizoendelea.
Amejengewa nyumba Bagamoyo kwa mamake na Suma JKT. Ni nyumba ya kufuru.
Ana nyumba karibu kila mkoa na mitaa kibao hapa Dar, achilia mbali alizojenga nje South Africa na Dubai.
Kwa kauli aliyoitoa jana, inatia simanzi na unafiki mkubwa sana kuwa amepanga. Je, mzee Kikwete anataka kumdanganya nani kuwa anaishi maisha ya shida na amepanga so wamjengee taratibu tena kwa uimara mkubwa?
Kama ulimsikiliza na kumwangalia Kikwete usoni, alionesha kutofurahishwa na ujenzi na kuona kama hakuridhika na ile nyumba ambayo kwa mtu wa kawaida hata tajiri ungeiona kuwa ya mapesa mengi.
USSR
Ni aibu sana, hii nchi kumbe bado ina wajinga wengi sana. kama mawazo ya watz wengi ni kama michango iliyomo humu, basi bado tuna safari ndefu kufikia Taifa Kubwa. Bado tutaendeea kuburuzwa na mazezeta maana na wengi wetu bado ni mazezeta.Umenikumbusha kwenye kula za vyama vingi , mwalimu Nyerere aliwapa wachache kwa sababu alijua wengi hawana akili zaidi wanafuata mikumbo tu ni wachache
Sent using Jamii Forums mobile app
Thibitisha hata ka picha ka hayo majengo!!Mbona viongozi wastaafu tunasikia wamepolomosha majumba huko South Africa,
Sent using Jamii Forums mobile app
Waacha wa Bara povu liendelee kuwatoka kwa kutokujua kuchanganua tungo tata!Waungwana muwe mnazielewa lugha za mafumbo zenye ujumbe wa kawaida tu.
Sio kila kitu ni cha kuamsha nongwa, mengine yatawaumiza mioyo pasipo umuhimu wowote.
Ujumbe wa Kikwete ni kusema kwamba hana haraka sana kwani anapo mahali pa kuishi.
Wakwere ni watu wa Pwani wenye ufundi mkubwa wa kiswahili.
Huyu Jakaya kikwete Rais mtaafu amenishangaza sana jana kwa kauli yake ya kuishi nyumba ya kupanga na bado ana mkataba na mwenye nyumba.
Kichangia neno katika kupokea nyumba za vingozi mzee Kikwete bila aibu ametoa kauli ya kuzua chuki na taharauki kubwa sana kwa mtu kama mimi mwenye kumfahamu Kikwete kwa upana.
Kikwete amekuwa Naibu Waziri kwa miaka mingi, Waziri wa Mambo ya Nje kwa miaka 10 na Rais miaka 10, leo analalamika kupanga.
Amelipwa zaidi ya million 12×10 kama Waziri wa Mambo ya Nje achiliambali vyeo vyake huko nyuma.
Amelipwa million 36×10 kama Rais na marupurupu kibao. Pamoja na kiinua mgongo cha karibu nusu Billion, bado Kikwete analipwa mafao ya kutia simanzi kwa mtu wa kawaida.
Amejengewa nyumba (Ikulu ndogo) msonga na Suma JKT akiwa hata hajastaafu. Ukiingia Msoga utashangaa sana ukubwa wa Ikulu ile na miundombinu yake ya nchi zilizoendelea.
Amejengewa nyumba Bagamoyo kwa mamake na Suma JKT. Ni nyumba ya kufuru.
Ana nyumba karibu kila mkoa na mitaa kibao hapa Dar, achilia mbali alizojenga nje South Africa na Dubai.
Kwa kauli aliyoitoa jana, inatia simanzi na unafiki mkubwa sana kuwa amepanga. Je, mzee Kikwete anataka kumdanganya nani kuwa anaishi maisha ya shida na amepanga so wamjengee taratibu tena kwa uimara mkubwa?
Kama ulimsikiliza na kumwangalia Kikwete usoni, alionesha kutofurahishwa na ujenzi na kuona kama hakuridhika na ile nyumba ambayo kwa mtu wa kawaida hata tajiri ungeiona kuwa ya mapesa mengi.
USSR
Duniani hapa sisi Wanaadamu wote ni Wapangaji tu! Muda wako ukifika tu unatolewa Duniani na unapelekwa kwenye Makazi yako ya Kudumu! Mengine ni Mbwembwe tu za sisi Wanaadamu!!Issue ya kupanga alivyosema nilijua nimesikia vibaya.
Huenda alizuga tu, hakupenda jinsi walivyojianika vile hali maisha ya wananchi ni duni mno hususani makazi kwa watumishi wa umma waliopo kazini na waliostaafu. Unavyofahamu ndivyo wengi wetu tunavyofamu pia.Huyu Jakaya kikwete Rais mtaafu amenishangaza sana jana kwa kauli yake ya kuishi nyumba ya kupanga na bado ana mkataba na mwenye nyumba.