Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kama covidCCM ni janga kama majanga mengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama covidCCM ni janga kama majanga mengine
wanasemaga wengi wape hata kama ni wajinga hatuna jinsi
Yani Magu ni Rais mzuri sana tena sana. pia hakuna mwanadamu ambae hana mapungufu lakin pungufu la mh Magu hatari coz zaid ya asilimia 70% lina negative impact sasa huyu hafai pungufu lake ni kubwa mno la kuto kula na wananchiTtzo lake anakula mwenyewe ndo ugomvi na wananchi ulipo
Anawakosoa watangulizi wake!! manake Mwinyi alipaswa kujengewa na Mkapa, Mkapa na Kikwete!!! Sasa yeye anapiga fasta kama ilivyokuwa kwa hosteli za UDSM, Na JK nae hataki mambo ya sijui nini nini joint!!!Ile ilikuwa joke tu ili achomekee ujumbe wake bila kumkwaza au kuonekana anapingana na JPM. Yeye kusema ni kuwa wasiharakishe saaana ujenzi na kuharibu quality maana Rais aliagiza nyumba iishe by Jan 2021.
Tukichukulia kila kauli seriously, tutakufa kwa BP mapema sana
Pamoja na hayo, hii kufuru ya kuwajengea hawa watu mahekalu inatia ukakasi kidogo.
Uzuri wa Magufuli ni upi hasa?yana magu ni raisi mzuri sana tena sana. pia hakuna mwanadamu ambae hana mapungufu lakin pungufu la mh magu hatari coz zaid ya asilimia 70% lina negative impact sasa huyu hafai pungufu lake ni kubwa mno lakuto kula na wananchi
Yaani kumfanya mtu ajione mpumbavu!!wewe hujui kiingereza,alisema sarcastically
Ana shauku ya maendeleo yenye kasi.Uzuri wa Magufuli ni upi hasa?
Ahahah yeye kasema serikali yake haitagawa pesa za mchezo! Ni lazima watu muchape kazi kwelikweli [emoji23]Ttzo lake anakula mwenyewe ndo ugomvi na wananchi ulipo
Cha ajabu ana shauku ya maendeleo yenye kasi kwa kuumiza watu wengine lkn yeye,familia yake na marafiki zake wala hua hawaumizwi na kasi hio ya maendeleo.ana shauku ya maendeleo yenye kasi.
UDHAIFU maendeleo yenye kasi bila kujali watu.
Ipo hivi:-Imenibidi nirudie kuisoma ID ya mleta uzi huu kama mara nne hivi, kuthibitisha kama NI YEYE. Kwani, sio kawaida kuto kuunga mkono au kusifia kwa lolote litalofanywa na Serikali au CCM!
Leo DISHI limekaa sawa, tena nadhani ni kwa muda tu!
Katika comment zote yako iko safi huyu jamaa anamafumbo sana,anamwambia kujengewa nyumba na matatizo aliyo nayo meko kwani imemsikia yeye kapangaLile lilikua dongo kwenda kwa gari la mkaa, wakwere hujawajua vizuri wewe.
Hivi kwa akili zako kabisa JK awe amepanga? Labda Kama kajipangisha nyumba yake mwenyewe.
Hakuna asiyetaka kutofanya kazi,ttzo zuluma unahangaika kulima bila msaada ukitaka kuuza wanakupangia,ukiuza wateja hamna sababu ya sera zake mbovu za kuwasomesha namba watuAhahah yeye kasema serikali yake haitagawa pesa za mchezo! Ni razima watu muchape kazi kwerikweri 😂
Nadhani mleta mada hakuelewa ile namna ya kusema. Kiswahili kilichotumika kimempita.Kama ulimsikiliza vizur alisema aliwaambia sarcastically so sio kwel kwmb amepanga