Uchaguzi 2020 Mzee Kikwete: Ninakopanga sijafukuzwa

Huenda alizuga tu, hakupenda jinsi walivyojianika vile hali maisha ya wananchi ni duni mno hususani makazi kwa watumishi wa umma waliopo kazini na waliostaafu. Unavyofahamu ndivyo wengi wetu tunavyofamu pia.
Ukiwasikikiza Magufuli na Kikwete utaona kwamba, Magufuli alikuwa anahimiza sana nyumba ijengwe imalizwe haraka. Akitaka nyumba ikamilike January.

Kikwete, ametumia diplomasia kusema "tutashukuru sana" kwa rais wake. Lakini pia amepooza ile kasi ya Magufuli kwa kutaka mambo yafanywe kwa uhakika bila kuharakisha ili watu wasilipue kazi.

Ndipo hapo kasemq makubaliano ni akabishiwe nyumba March. Hakuna haja ya kuharakishq sana kumqliza nyumba kabla ya hapo, kwa sababu, alikiopanga sasa hivi hajafukuzwa.

Kwa tunaojua kusikiliza mtu Kiswahili cha ndani, kile kilikuwa ni kama kijembe katumiwa Magufuli. Whether consciously or subconsciously.

Kikwete kupanga labda aamue tu.Nyumba yake ya Migombani St tunaambiwa sasa hivi hakai mtu. Na imetoka kufanyiwa ukarabati wa nguvu na serikali muda si mrefu.
 
Kuna watu mna akili ndogo.

Kauli ya Kikwete ilikusudia kuwaambia kuwa hahitaji hiyo nyumba kwa sababu ana nyumba tayari.

Na hata kama amepanga, kodi yake bado. Hivyo hana shida na nyumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnafiki tu wewe,kisa kamponda Magu kiaina ndio maana povu linakutoka!

Ma-CCM wote hamtufai.
 
Umaskini shida sasa

Mleta hii thread anadhan mtu kusema ana panga nyumba ni alama ya umaskini

Hivi akiambiwa akina Jeetu patel na Seth maisha yao yote ya Mjini hawana Nyumba wanazomiliki japo wana mabilion ya kununia mitaa kadhaa masaki na ostaby hatoamini

Vipaumbele vya maskini na tajiri no tofauti kabisa
 
..anachosema Mzee Kikwete ni kwamba anaishi ktk nyumba nyingine aliyopewa na serikali.
 
UVCCM reasoning capacity ndogo sana ndiyo maana polepole anasema kutembelea V8 ni mafanikio.
 
Ana nyumba Regecy estate . Kwanza ilikia moja then akanunua ya pembeni yake kwa 700m akaziunganisha ikawa bonge la hekalu.
Ccm wote majizi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati huu wa kuomba huruma ya wananchi usishangae mgombea akisema hana boxer anaishi kwa kuazimwa azimwa ilimradi umpgie kura

#TAL2020
 
Ndugu matumbo yao yana upana ajabu, HAWASHIBI!
 
Kwa Mara ya kwanza nasikia mzee Kikwete alijenga Dubai na South Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…