Uchaguzi 2020 Mzee Kikwete: Watu wanasema Mama Salma kaachwa ndio sababu anahangaikia Ubunge, nasema wapuuzeni

Uchaguzi 2020 Mzee Kikwete: Watu wanasema Mama Salma kaachwa ndio sababu anahangaikia Ubunge, nasema wapuuzeni

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Akiwa katika mkutano ulioongozwa na Makamu wa Rais mama Samia Suluhu huko Mchinga Lindi, Rais mstaafu ameongea kiutani kuwa

"Watu walikuwa wanasema mama huyu [Salma Kikwete] kaachwa ndiyo maana anahangaikia Ubunge. Nyie shemeji zangu mnataka kuninyang'anya mke? Mie sijamuacha."




Maendeleo hayana vyama!
 
Aisee! Kuna binadamu wanakula mema ya nchi vizuri sana, kutoka kuwa 'first lady' kwa miaka 10 mpaka mbunge wa kuteuliwa na sasa anachukua Jimbo.

Kila laheri Mama Salma kwenye harakati za kutwaa jimbo.
 
Bila kupekecha macho, Hii sio haki, Ubunge wa nini? Badala ya kuachia na wengine, jamani, hivi huwa tunasahau kwamba vitu Vyote hivi tunavyovisumbukia tuaviacha katika siku na muda usiojulikana na hatutaondoka navyo?

Ingetokea ulaya poa, bongo noma.

Unamfahamu Bibi Clinton? Mara mbili (2007 ndani ya chama cha Democratic, na 2016 akichuana na Trump) aliutaka uRais wa Marekani.

Kama anakarama ya uongozi, haiwezi kufungwa na uRais wa mmewe, Ni wakati wake naye asimame yeye kama yeye.
 
Anachokifanya mama Salma kiko sahihi labda tuwape na reference za huko Mamtoni, Hilary Clinton alikuwa First lady wakati wa Utawala wa Mumewe Bill Clinton, Mumewe amekuja kuwa succeeded na Bush JR sasa wakati wa obama tenure huyu mwanamama alirudi tena as Secretary of state na baadae alienda far kwa kuwa Presidential candidate flag bearer wa Democrat ivo alikuwa anaenda kuwa Rais , Mwaka huu Michele Obama aliekuwa First lady ilibaki ivi awe picked up na Jo Bidden as his running mate.
 
Back
Top Bottom