Uchaguzi 2020 Mzee Kikwete: Watu wanasema Mama Salma kaachwa ndio sababu anahangaikia Ubunge, nasema wapuuzeni

Uchaguzi 2020 Mzee Kikwete: Watu wanasema Mama Salma kaachwa ndio sababu anahangaikia Ubunge, nasema wapuuzeni

Bwashee yaan hakuna hata mke mmoja wa Rais aliyewahi kutaka ubunge, Huyu kipo kinamhangaisha?
Unajua mama ana kiinua mgongo kilichonona?
Unajua hata kama wameachana hawezi kuwa masikini kwa stahiki atazopata kama mtalaka?
Unakumbuka hakuomba hiyo kazi aliteuliwa tu?

Unajua amenogewa tu ndio kaamua kuomba?
 
Kwa kigezo cha kutafuta sawa lkn asitudanganye kuwa anataka kuwahudumia wananchi kama mbunge.

Naamini miaka 10 aliyo itumia akiwa kwenye kiti cha enzi akiwa pale ikulu ili mtosha kuwahudumia wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini pia Mama Salma amefanya makubwa wakati ni first lady, she imparted alots to the society
 
Kumbe akili mnazo ila huwa mnazificha tu mnapomtumikia kafiri ili ujora msiukose?!

Mkuu sasa hapa umeandika kwa hekima sana, sasa nakuomba urudie kuisoma post yako hata mara kumi huku ukitafakari yale yote unayoyatetea humu ya Magufuli na ccm take huku ukijua kabisa yapo kinyume na ustaarabu wa kibinadamu/kiutu. Yaani msimamo wako na hawa unaowakosoa hamtofautiani. Unaponda Kikwete kwa ubinafsi halafu unasifia Magufuli kwa kila tabia yake! Think!

Baada ya hapo kama kauli hii imekutoka moyoni nafsi yako itakusuta na utajirekebisha, ila kama yamekutoka kwenye koromeo tu utatoka hapa na kurudia yaleyale.

Huu mchango wako nimeupenda sana aisee, naona umekuwa na ubinadamu ndani yako.
Inawezekana huyo aliyetoa comment unaye mpongeza ni wale akina @Fayza Fox

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matunda ya Miaka 43 ya Utawala wa CCM Maradhi, Ujinga na Umaskini wa kutupwa. Walau wakati wa TANU hawajamaa walikuwa wanakondeana... tangu CCM ifanye Azimio la Zanzibar 1992, kasi ya unono na ukibonge inaongezea maradufu!
 
Aisee! Kuna binadamu wanakula mema ya nchi vizuri sana,kutoka kuwa 'first lady' kwa miaka 10 mpaka mbunge wa kuteuliwa na sasa anachukua Jimbo.

Kila laheri Mama Salma kwenye harakati za kutwaa jimbo.
Huwezi jua bana, hii Tanzania (read CCM) ina maajabu mengi sana. Pengine Mama Salma nae anapanga kuja kugombea urais baadae!
 
Aisee....kuna binadamu wanakula mema ya nchi vizuri sana,kutoka kuwa 'first lady' kwa miaka 10 mpaka mbunge wa kuteuliwa na sasa anachukua Jimbo.

Kila laheri Mama Salma kwenye harakati za kutwaa jimbo.
Mwenye bahati habahatishi. Hongera kwake Salma Kikwete
 
Ingetokea ulaya poa, bongo noma.

Unamfahamu Bibi Clinton? Mara mbili (2007 ndani ya chama cha Democratic, na 2016 akichuana na Trump) aliutaka uRais wa Marekani.

Kama anakarama ya uongozi, haiwezi kufungwa na uRais wa mmewe, Ni wakati wake naye asimame yeye kama yeye.
Ulaya wana miiko yao na sisi afrika tuna miiko yetu.
 
Kumbe akili mnazo ila huwa mnazificha tu mnapomtumikia kafiri ili ujira msiukose?!

Mkuu sasa hapa umeandika kwa hekima sana, sasa nakuomba urudie kuisoma post yako hata mara kumi huku ukitafakari yale yote unayoyatetea humu ya Magufuli na ccm take huku ukijua kabisa yapo kinyume na ustaarabu wa kibinadamu/kiutu. Yaani msimamo wako na hawa unaowakosoa hamtofautiani. Unaponda Kikwete kwa ubinafsi halafu unasifia Magufuli kwa kila tabia yake! Think!

Baada ya hapo kama kauli hii imekutoka moyoni nafsi yako itakusuta na utajirekebisha, ila kama yamekutoka kwenye koromeo tu utatoka hapa na kurudia yaleyale.

Huu mchango wako nimeupenda sana aisee, naona umekuwa na ubinadamu ndani yako.
Mkuu hutokuja kunielewa hata!!

Ninazo sababu zangu na za msingi katika msimamo wangu juu ya viongozi wetu" vipindi vilivyopita nimejionea jinsi Sheria zilivyowanufaisha wenye pesa Pekee, nimedhurumiwa Mimi, Ndugu yangu alinyang'anywa nyumba hivihvi na akawekwa ndani, kisa kunawatu walikuwa wanataka wafahamike tu kila pahala, na usipowafahamu watakuuliza, unanijua Mimi ni Nani?

Leo hii sjawahi kuwaona watu kama hao, kwani angalau haki Kwa wote ipo, nampenda Tu Magufuli full stop!

Na sio kwamba naipenda CCM, Ila naamini katika Uongozi wa mtu na sio Chama! Vyama vinatuchelewesha Tu mkuu
 
Hawa mbona wanapenda sana sera ya amani lakini Haki hawaizungumzii kabisa?
Msikwepe suala la Haki, bila Haki hiyo amani iko mashakani!
 
Mkuu hutokuja kunielewa hata!!

Ninazo sababu zangu na za msingi katika msimamo wangu juu ya viongozi wetu" vipindi vilivyopita nimejionea jinsi Sheria zilivyowanufaisha wenye pesa Pekee, nimedhurumiwa Mimi, Ndugu yangu alinyang'anywa nyumba hivihvi na akawekwa ndani, kisa kunawatu walikuwa wanataka wafahamike tu kila pahala, na usipowafahamu watakuuliza, unanijua Mimi ni Nani?

Leo hii sjawahi kuwaona watu kama hao, kwani angalau haki Kwa wote ipo, nampenda Tu Magufuli full stop!

Na sio kwamba naipenda CCM, Ila naamini katika Uongozi wa mtu na sio Chama! Vyama vinatuchelewesha Tu mkuu
Mhhhhhh!!! Kwahiyo mkuu kwa sasa kwa huyo magufuli unayempenda HAKI kwa wote ipo?! Kweli kama ulivyosema, sitokuja kukuelewa!
 
Back
Top Bottom