johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaa! Tamaa ya nini?!Tamaa tu
Hahahaaa....... tamaa ya nini?!
Mke wa Yoweri Mseveni ni mbunge na waziri bwashee!Bwashee yaan hakuna hata mke mmoja wa Rais aliyewahi kutaka ubunge, Huyu kipo kinamhangaisha?
Ni kweli, haya Mara nyingi yanatokea kwenye nchi za Kidikteta.Mke wa Yoweri Mseveni ni mbunge na waziri bwashee!
Nadhani anaongelea Marais wa JMT.Mke wa Yoweri Mseveni ni mbunge na waziri bwashee!
Bila kupekecha macho, Hii sio haki, Ubunge wa nini? Badala ya kuachia na wengine, jamani, hivi huwa tunasahau kwamba vitu Vyote hivi tunavyovisumbukia tuaviacha katika siku na muda usiojulikana na hatutaondoka navyo?
Mke wa Yoweri Mseveni ni mbunge na waziri bwashee!
Vigogo wa bongo wanafuatilia sana spana za kigogo mwenzao kuliko hata tii bii siii.Duuu hakika Leo nimeamini KIGOGO 2004 ni tishio nakumbuka wiki iliyopita alimwaga Sana upupu juu ya mama Salma kumbe mshua nae alikuwa anasoma spana za KIGOGO
Mchinga pale pana upinzani kubwa sana, hasa pale cuf ilivyo kuwa imetimia kabla ya kuuzwa na poropeesa!Hiyo ndo Mchinga bhana, tunaoifahamu pia tunafahamu kwamba watu wa Mchinga hawaangalii mtu usoni, kwahiyo lazima JK ukajitoe akili huko ili kuepuka aibu ya kushindwa, na hatimae kuwa Mbunge wa NEC!
Bwashee yaan hakuna hata mke mmoja wa Rais aliyewahi kutaka ubunge, Huyu kipo kinamhangaisha?
DinaTamaa tu.
Palipo na tamaa aibu ujitengaAisee! Kuna binadamu wanakula mema ya nchi vizuri sana,kutoka kuwa 'first lady' kwa miaka 10 mpaka mbunge wa kuteuliwa na sasa anachukua Jimbo.
Kila laheri Mama Salma kwenye harakati za kutwaa jimbo.