Uchaguzi 2020 Mzee Kikwete: Watu wanasema Mama Salma kaachwa ndio sababu anahangaikia Ubunge, nasema wapuuzeni

Tunaongelea hapa nchini Tanzania, ni wapi uliwahi kumuona mke wa Rais mstaafu anawania udiwani au ubunge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchinga pale pana upinzani kubwa sana, hasa pale cuf ilivyo kuwa imetimia kabla ya kuuzwa na poropeesa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure. Mchinga nawaaminia sana, manake over the past 15 years, Mchinga imeongozwa na Wabunge 3 tofauti.

Na kwavile CUF wameshalikoroga, kuna uwezekano mkubwa sana akaingia mbunge wa 4 tofauti!
 
Karama ya uongozi kwa Salma?

Wewe utakuwa humjui huyu mama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaiga mabeberu leo!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tamaa tu ya madaraka hakuna kingine, maana kama noti wananzo za kutosha sasa sijui nini anatafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe madaraka nikutafuta hela sio kutumika.
Kama hivyo bado sana,
Maana wanaogombea kumbe wanataka hela, nasi tunajua hivyo basi acha azichukue
 
Kumbe madaraka nikutafuta hela sio kutumika.
Kama hivyo bado sana,
Maana wanaogombea kumbe wanataka hela, nasi tunajua hivyo basi acha azichukue
Yeye kama kutumikia wananchi alikuwa na miaka 10 ya kuwatumikia wananchi, nikipi kipya alisahau? Yeye anatafuta fedha tu wala siyo kuwatumikia wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure. Mchinga nawaaminia sana, manake over the past 15 years, Mchinga imeongozwa na Wabunge 3 tofauti.

Na kwavile CUF wameshalikoroga, kuna uwezekano mkubwa sana akaingia mbunge wa 4 tofauti!
Huo ndiyo ukweli usiyo na shaka lazima anaingia mbunge mwingine CUF wamecheza rafu sana kuiuza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kupekecha macho, Hii sio haki, Ubunge wa nini? Badala ya kuachia na wengine, jamani, hivi huwa tunasahau kwamba vitu Vyote hivi tunavyovisumbukia tuaviacha katika siku na muda usiojulikana na hatutaondoka navyo?
Kumbe akili mnazo ila huwa mnazificha tu mnapomtumikia kafiri ili ujira msiukose?

Mkuu sasa hapa umeandika kwa hekima sana, sasa nakuomba urudie kuisoma post yako hata mara kumi huku ukitafakari yale yote unayoyatetea humu ya Magufuli na ccm take huku ukijua kabisa yapo kinyume na ustaarabu wa kibinadamu/kiutu. Yaani msimamo wako na hawa unaowakosoa hamtofautiani. Unaponda Kikwete kwa ubinafsi halafu unasifia Magufuli kwa kila tabia yake! Think!

Baada ya hapo kama kauli hii imekutoka moyoni nafsi yako itakusuta na utajirekebisha, ila kama yamekutoka kwenye koromeo tu utatoka hapa na kurudia yaleyale.

Huu mchango wako nimeupenda sana aisee, naona umekuwa na ubinadamu ndani yako. Jitafakari sasa kule kwingine ili uchague kuwa binadamu jumla au uendelee na ushetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…