Uchaguzi 2020 Mzee Kikwete: Watu wanasema Mama Salma kaachwa ndio sababu anahangaikia Ubunge, nasema wapuuzeni

Bila kupekecha macho, Hii sio haki, Ubunge wa nini? Badala ya kuachia na wengine, jamani, hivi huwa tunasahau kwamba vitu Vyote hivi tunavyovisumbukia tuaviacha katika siku na muda usiojulikana na hatutaondoka navyo?
Ukizungumzia haki basi ana haki ya kugombea na hata mzee JK nafikiri ana haki kurudi kugombea

Labda ungesema sio busara kuendekeza tamaa
 
Watu wasio na ufahamu na mambo wakiongozwa na chuki binafsi wanatiririka tu bila kuyajua haya.
 
Huyo mama Clinton aliwania uraisi ila hajawahi kuwa rais was USA, lakini pia yeye hakuwahi kugombania ubunge!.

Ndio maana pamoja na kushinda kwake katika uchaguzi, hawakutaka awe Rais wa USA
 
Hunaga hoja za msingi, unapewa mifano unarukaruka tu

Kutokutokea kwa mke wa rais mwingine haimzuii mama salma kugombea mbona mtanyooka.

Tunaongelea hapa nchini Tanzania, ni wapi uliwahi kumuona mke wa rais mstaafu anawania udiwani au ubunge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hugo mama Clinton aliwania uraisi ila hajawahi kuwa rais was USA,lakini pia yeye hakuwahi kugombania ubunge!.

Ndio maana pamoja na kushinda kwake katika uchaguzi,hawakutaka awe Rais wa USA

Lakini awamu ya Kwanza ya Obama, alikuwa waziri wa mambo ya nje.
 
Asante sana.
 
Bila kupekecha macho, Hii sio haki, Ubunge wa nini? Badala ya kuachia na wengine, jamani, hivi huwa tunasahau kwamba vitu Vyote hivi tunavyovisumbukia tuaviacha katika siku na muda usiojulikana na hatutaondoka navyo?
Katiba inasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…