Timu yenye fedha kuliko zote Afrika mashariki, timu yenye kiwango bora kuliko zote afrika mashariki, timu yenye mashabiki wengi kuliko zote afrika mashariki, timu yenye ushawishi mkubwa afrika mashariki na kati unaiita mbumbumbu kweli?Mbumbumbu fc buana
Umeona sasa akili zenu MBUMBUMBU?!! Eti Kilomoni aiendeleze 5imba kwa fedha gani, kwani fedha ndio zinaendeleza mpira? Mlio wa Ng'ombe si anapesa na ndio mnamuabudu,. sasa mlishajiuliza alishindwa nini kuiendeleza African Lyon iwe kama TP Mazembe na fedha zake?Naam, unaweza kupanda kokote utakapo ni haki yako mzee kilomoni aindeleze Simba kwa fedha gani alizonazo kwa akili gani alizonazo?
.
Anacholilia yeye ni kuenguliwa kwenye bodi ya wadhamini
5imba haina hela we mbumbumbu vipi? Hela ni za Mo. 5imba account yake inasoma 0 na hiyo 0 ni vile Bibi Maimuna wa Zanzibar hajafungua kesi mahakamani kudai fedha zake za vitumbua na maharage mnazodaiwa bili ya wachezaji mwaka 2010 mlipoenda kwenye kombe lenu la Maulid...ah sorry I mean Muungano.Timu yenye fedha kuliko zote Afrika mashariki, timu yenye kiwango bora kuliko zote afrika mashariki, timu yenye mashabiki wengi kuliko zote afrika mashariki, timu yenye ushawishi mkubwa afrika mashariki na kati unaiita mbumbumbu kweli?
.
Huna shukrani tumekubeba uende champions league alafu unafanya maandalizi Morogoro na kuwalisha wachezaji matikiti ukipigwa mechi za awali utalalamika?
Uwekezaji uliofanyika African Lyon usiulinganishe na uwekezaji unaotaka kufanyika Simba sports mpaka sasa Mo katoa billion 5 na bado hajawa muwekezaji rasmi Simba ni moja ya Klabu bora (20) Afrika.Umeona sasa akili zenu MBUMBUMBU?!! Eti Kilomoni aiendeleze 5imba kwa fedha gani, kwani fedha ndio zinaendeleza mpira? Mlio wa Ng'ombe si anapesa na ndio mnamuabudu,. sasa mlishajiuliza alishindwa nini kuiendeleza African Lyon iwe kama TP Mazembe na fedha zake?
Mungu ampe maisha marefu Mzalendo Mzee Kilomoni. Wenye mapenzi mema na 5imba tuitikie AMEN!
Yanga nyie ni ndala fc, vyura fc, gongo wazi, Tasaf fc, watermelon fc aka matikiti n.k5imba haina hela we mbumbumbu vipi? Hela ni za Mo. 5imba account yake inasoma 0 na hiyo 0 ni vile Bibi Maimuna wa Zanzibar hajafungua kesi mahakamani kudai fedha zake za vitumbua na maharage mnazodaiwa bili ya wachezaji mwaka 2010 mlipoenda kwenye kombe lenu la Maulid...ah sorry I mean Muungano.
Kuhusu nyinyi kuwa mbumbumbu wala usilaumu watu hapa jukwaani, aliyekuwa mwenyekiti wenu Alhaji Ismail Aden Rage hanywi pombe yule
Kumbe vibaraka wa Mo waliomba msaada wq polisi ili kuuzima moto wa mzee kilomoniView attachment 1162802
Ugoro umeacha lini kuvuta?Timu yenye fedha kuliko zote Afrika mashariki, timu yenye kiwango bora kuliko zote afrika mashariki, timu yenye mashabiki wengi kuliko zote afrika mashariki, timu yenye ushawishi mkubwa afrika mashariki na kati unaiita mbumbumbu kweli?
.
Huna shukrani tumekubeba uende champions league alafu unafanya maandalizi Morogoro na kuwalisha wachezaji matikiti ukipigwa mechi za awali utalalamika?
Mzee mimi ni mwanachama wa Simba Sports, nimeandika hivyo kwa uchungu sana kwanini Kilomoni atuvuruge basi Mo ajitoe billion 5 zake ale hasara kisha tuone Simba itakuwa wapi kama hata itamtoa DE songo na hela za kuwalipa wachezaji wanaolipwa dola 7000&10,000 wazilipe
kuita waandishi wa habari mpaka kibali?
Ujui ulichoandika? Au ndio watoto mliofunga shule? Wewe umesema kima cha chini simba ni dollar 5000 ndio nakushangaa wakati huyo Kagere inasemekana analipwa 14mTzs, ambae ndie analipwa zaidi simba.Umeandika nini hiki [emoji115]
"Inasemekana" basi tafuta ukweli ukishaujua njoo tena hapa ubwate, yani nyie mchezaji wenu ghali Juma Balinya alipwe dollar 7000 uje umfananishe na kagere like seriously?Ujui ulichoandika? Au ndio watoto mliofunga shule? Wewe umesema kima cha chini simba ni dollar 5000 ndio nakushangaa wakati huyo Kagere inasemekana analipwa 14mTzs, ambae ndie analipwa zaidi simba.
Shikamoo Rage,ulikuwa SahihiNavuta hadi bange, wewe ni shabiki wa mbute huwezi kuitakia mema Simba
Kilomoni amekwishaichangia Simba vya kutosha kwa miguu na magoli yake. Kama ingeshuka Daraja chini ya uchezaji wake, Mo Dewji angeikuta mpaka akataka kuwekeza?Hivi tuwe wakweli tu Mo mara paap kajitoa Simba unafikiri Simba itakuwa wapi au Kilomoni ataisaidia nini Simba?
Akaunti ya 5imba haina hata thumni, waulize wakubwa zako wakwambie, akaunti inayolipa mishahara na kusajili ni ya Mo.Yanga nyie ni ndala fc, vyura fc, gongo wazi, Tasaf fc, watermelon fc aka matikiti n.k
.
Simba account yake ina fedha nyingi (Siwezi kutaja idadi yake kwa sababu sio wajibu wangu) fedha za mapato ya milangoni zote zinaingia kwenye mfuko wa klabu, fedha za mapato ya jengo la Simba zote zinaingia kwenye akaunti ya klabu hiyo account uliiona wewe ina zero?
.
Au unadhani huku ni Vyurani fc ambako mnaongozwa na wazee kina Mshindo?
Kule African Lyon Mo alikuwepo peke yake kama mmiliki na Kilomoni hakukuwepo, mbona Mo alishindwa kuipeleka hata nafasi ya 3 kwenye ligi?Unashauri Mo ajitoe tumpe timu tuone ataifanyia nini?