Mzee Kinana: 2025 Njia nyeupe kwa Rais Samia

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana, amesema 2025 njia itakua nyeupe kwa chama hicho kushika Dola kwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya makubwa ndani ya miaka miwili ya uongozi wake.
===

Your browser is not able to display this video.
 
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana, amesema 2025 njia itakua nyeupe kwa chama hicho kushika Dola kwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya makubwa ndani ya miaka miwili ya uongozi wake...
Kuuza nchi kwa Waarabu wa Dubai ni mambo makubwa? Hivi fisadi Kinana unatuchukuliaje Watanganyika.
 
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana, amesema 2025 njia itakua nyeupe kwa chama hicho kushika Dola kwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya makubwa ndani ya miaka miwili ya uongozi wake...
Labda kwa wizi wa kura tu kama ilivyo kawaida yenu. Hiki chama hakioni aibu kumpa kamili mkubwa nafasi ya juu katika chama
 
Kauli tata sana hii!!

Nadhani kinyume chake ndicho alichomaaanisha kusema!!!

Kunako majaaliwa 2025!!!
 
Siku hizi hawa wazee wanajiropokea tu, eti huyu ndie anaitwa gwiji la siasa!, mambo mengine bana...

Zaidi ya kuiba kura anajua nini kingine huyo kwenye kutafuta ushindi?!
 
Kuuza nchi kwa Waarabu wa Dubai ni mambo makubwa????Hivi fisadi Kinana unatuchukuliaje Watanganyika.
Anakuchukulia Kama barking dog behind the keyboard.....kajichome na mafuta mzimamzima nje ya ikulu Kama waalgeria ajue umechukia haswaa😆😆
 
Njia nyeupe ya kwenda au kutoka ikulu? Wazee wana mafumbo hawa.
 
Ni kweli kwa tume ya sasa njia ni nyeupe kwa ccm, Watanganyika acheni kutegemea mabadiliko kutoka mtandaoni, misri mabadiliko yalikuja baada ya serikali kuzima internet watu wakaingia barabarani kutafuta habari
 
Yale mabango ya kampeni ambayo yametapakaa kila kona hapa nchini, tena yakiwekwa nje ya muda rasmi wa kampeni ni ya nini!?

Kinana akumbuke ule usemi kuwa, "Chema chajiuza lakini kibaya chajitembeza'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…