Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Kwamba hata mama aliye kijijini anakatawa tozo akitumiwa pesa na mwanae anayeishi mjini? Kwamba hata mwalimu wa shule anyefundisha kijijini kwenye mazingira magumu ya kijijini anakatwa kodi ya PAYE, na hata akitoa mshahara wake benki anakatwa kodi!
Mzee kinana CCM hii iko vipi? Ni mali ya wanyonge? Usawa na utu gani unauhubiri?
Mzee kinana CCM hii iko vipi? Ni mali ya wanyonge? Usawa na utu gani unauhubiri?