CCM ilikufa 5. 11. 1985Kwamba hata mama aliyekijijini ana akatawa tozo akitumiwa pesa na mwanae anaueishi mjini? Kwamba hata Mwl wa shule anyefundisha kijijini kwenye mazingira magumu ya kijijini anakatwa kodi ya Paye na hata akitoa mshahara wake benki anakatwa kodi!
Mzee kinana CCM hii iko vipi? Ni mali ya wanyonge? Usawa na utu gani unauhubiri?
View attachment 2342464
Karibu katika makala yangu kunipigia kura , Tanzania yenye sura mbili kwenye sura mojaKwamba hata mama aliyekijijini ana akatawa tozo akitumiwa pesa na mwanae anaueishi mjini? Kwamba hata Mwl wa shule anyefundisha kijijini kwenye mazingira magumu ya kijijini anakatwa kodi ya Paye na hata akitoa mshahara wake benki anakatwa kodi!
Mzee kinana CCM hii iko vipi? Ni mali ya wanyonge? Usawa na utu gani unauhubiri?
View attachment 2342464
[emoji38][emoji38][emoji38]"Kama huridhiki na tozo, hamia Burundi"
Mwisho wa kunukuu[emoji3578]