Mzee Kinana Umetukataza Kukagua Taa za Magari Mchana, Sawa Tumekuelewa

Ma traffic wahanga wanataka kupotosha kauli za Kinana ili waonewe huruma.
Kiukweli wapangiwe kazi zingine,barabarani waondolewe walio wengi.
 
Nasikia mlikuwa mnakusanya hela za kupeleka vikoba ni kweli ?
 

Kama ni ajali zinazosababishwa na taa sio mara ya kwanza kutokea, kinana asingetoa neno ungekuja na hii mada!!!
 
Unachoma rushwa Tu.....Anza kutafuta Pepo mwehu wewe
 
Ukweli mtupu inakera Sana
 
Ni sawa, ila wasitumie mwanya huo kwa kulazimisha rushwa. Polisi akimsaidia raia vizuri kwa moyo raia pia huwapa zawadi na shukurani..
 
Zimesababisha sana Ajali kipande cha Igawa hadi Igurusi hizi, unapishana nayo ukiddhani pikipiki unaenda kulivaa tela
 
Asilimia 70 za Ajari za Barabarani huletwa na matrafiki wenyewe nipo hapa manyoni njooni mnipige
 
Wapi huko powertiller zinatembea usiku? Huku nilipo powertiller mwisho kutembea ni jua likishazama tu na wanatii.
 
Hatulalamiki tumeshukuru maana kila mtu alituona kama wezi, wadhulumaji na watu wasiofaa katika jamii bila kujali mchango wetu kwa jamii hata kama ni mdogo.
Ila munatukwanyua sana jamani punguzeni maana hali ngumu kote kote. Nyinyi wenzetu kila mita 100 unasimamishwa na baadhi ya siku utatafutiwa kosa mpaka lipatikane ili utoe faini.
 
Matrekta kutokuwasha taa ni jambo la kawaida na hii si ajali ya kwanza, wale wanaoishi vijijini wanalijua hili.
 
Kuna wakati flani unaweza fikiria ninyi hamkuzaliwa kwa njia ya kawaida na mama zenu.
Yaan uzao wa makalioni, wote ni warafi wa fedha za dhurma.
Apatikane rais mwenye akili, afute ninyi wote na wa anjiriwe watu wapya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…