Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
AmenMungu atuepishie mbali hizi roho za ajali na vifo!
Amen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenMungu atuepishie mbali hizi roho za ajali na vifo!
Amen
Ma traffic wahanga wanataka kupotosha kauli za Kinana ili waonewe huruma.Wenye akili wamemwelewa Kanali Kinana. Alimaanisha busara na Elimu vitolewe Kwa Nia njema. Ukaguzi ufanyike Kwa Nia njema. Kama ni taa moja imeungua na umebaini Hivyo mwelekeze akanunue nyingine aje aweke aendelee na safari. Sio kumweka Juani halafu akitoa Elfu 10 taa inawaka .
Watu wanatumia kauli ya Kinana kupotosha umma badala ya kuusaidia
Nasikia mlikuwa mnakusanya hela za kupeleka vikoba ni kweli ?Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.
Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.
Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
Ule upatu wa kila siku tafuta namna ya kuucheza. Mlikera kwa rushwa barabaraniSawa hatukuwa na lolote zaidi ya kupokea rushwa, futeni kitengo kabisa.
Ukweli mtupu inakera Sanamnakera. unakaguliwa mara sita ndani ya mkoa mmoja mnauliza vitu vile vile
wekeni utaratibu wa kutokurudia ukaguzi at least on the same day
mfano unatoka kahama unaenda shinyanga, ndani ya mkoa. Unasimamishwa bijampola kwa mbele hapo karibu na daraja, unaombwa leseni, unaomba card ya gari, unaambiwa washa taa
Ukitoka phantom unaombwa vitu hivyo hivyo
kabla ya buwagi hapo vitu hivovivo
kagonwa tena
hali inaendelea hivyo kabla ya isaka na baada tu ya isaka hapo shule ya msingi
itwangi au luhumbo, tinde, baada ya tinde kuna vikosi viwili hadi vitatu kabla ya kuingia shinyanga
Ni sawa, ila wasitumie mwanya huo kwa kulazimisha rushwa. Polisi akimsaidia raia vizuri kwa moyo raia pia huwapa zawadi na shukurani..Lakini pia mifumo ya ajira ndani ya vyombo vya usalama Sio mzuri.
Unawafanya wale waadilifu kustaafu wakiwa maskini na wale Wala rushwa na wapiga Dili kustaafu wakiwa na maisha mazuri na familia Zao. Polisii anaweza akafanya kazi Miaka 30 akiwa na Elimu ya form 4 halafu akastaafu mshahara wake haijafikia Hata Laki 6. Kiinuwa mgongo hakifai mil. 40. Sasa huyo Mtumishi atakuaje mwadilifu kama hajaokoka na kumjua Kristo au awe ana Imani Kali ya kidini.
Kinana yupo Sawa Lakini mfumo Wa kiutumishi hauko Sawa kwenye Jeshi la polisii
Zimesababisha sana Ajali kipande cha Igawa hadi Igurusi hizi, unapishana nayo ukiddhani pikipiki unaenda kulivaa telaMlikuwa mkikamata hizo gari na taa zisizowaka mlikuwa mnazizuia zisiendelee na safari au ndio mlikuwa mnaishia kukunja na watu wanaendelea kupiga gia.
Hizo trekta na hayo matatizo ya taa ni matatizo na hivyi vicheche vipo kila siku, zile power tilla usiku zinakuwaga na taa moja mbele huku zinavuta tela pana barabarani na mlikuwa hamuwafanyi kitu.
Wapi huko powertiller zinatembea usiku? Huku nilipo powertiller mwisho kutembea ni jua likishazama tu na wanatii.Mlikuwa mkikamata hizo gari na taa zisizowaka mlikuwa mnazizuia zisiendelee na safari au ndio mlikuwa mnaishia kukunja na watu wanaendelea kupiga gia.
Hizo trekta na hayo matatizo ya taa ni matatizo na hivyi vicheche vipo kila siku, zile power tilla usiku zinakuwaga na taa moja mbele huku zinavuta tela pana barabarani na mlikuwa hamuwafanyi kitu.
Ila munatukwanyua sana jamani punguzeni maana hali ngumu kote kote. Nyinyi wenzetu kila mita 100 unasimamishwa na baadhi ya siku utatafutiwa kosa mpaka lipatikane ili utoe faini.Hatulalamiki tumeshukuru maana kila mtu alituona kama wezi, wadhulumaji na watu wasiofaa katika jamii bila kujali mchango wetu kwa jamii hata kama ni mdogo.
Matrekta kutokuwasha taa ni jambo la kawaida na hii si ajali ya kwanza, wale wanaoishi vijijini wanalijua hili.Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.
Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
SawaMatrekta kutokuwasha taa ni jambo la kawaida na hii si ajali ya kwanza, wale wanaoishi vijijini wanalijua hili.
Asante kwa maoniAsilimia 70 za Ajari za Barabarani huletwa na matrafiki wenyewe nipo hapa manyoni njooni mnipige
sasa hii ni traffic na madereva,kinana hii inamuumaje??Angalia wenzio hapa wameweka na wakala wao wa kuwachukulia pesa.
Kuna wakati flani unaweza fikiria ninyi hamkuzaliwa kwa njia ya kawaida na mama zenu.Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.
Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.