Mzee Kinana Umetukataza Kukagua Taa za Magari Mchana, Sawa Tumekuelewa

Mzee Kinana Umetukataza Kukagua Taa za Magari Mchana, Sawa Tumekuelewa

Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.

Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.

Afande tafuta kazi mbadala
Ajali zimetokea nyingi tu hata kabla hamjapunguzwa, ajali ya Mtwara hukuiona? Ajali ya Kagera yule mama wa wanawe wanne? Ajali ya Manyara? Ajali ya Moro juzi kati Bus la Happy Nation?

Hizo zote bado mlikuwa ulingoni mkikusanya buku buku za watu ili jioni mvimbe kwenye baa na pub za uswazi.

Uza hata mashuka mzee hii nchi watu tushakuwa wachuuza wa bidhaa za mchina nawe ungana nasi tu
 
Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.

Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
Mnakera Sanaa, ondokeni tu na kuilinda Bank nayo ni sehemu ya kazi zenu
 
Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.

Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
Msirudi barabarani, kagueni nafsi zenu za rushwa kwanza.
 
Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.

Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
Acha uhuni. Endelea kukaa huko huko ulikopangiwa.
Mchana wa jua Kali kipindi Cha kiangazi trafiki anakuambia washa wiper.
Kuna wale wa kike wasiojua chochote kuhusu usalama barabarani huwa wanauliza Kama kwenye gari Kuna triangle na fire extinguisher wenye wanaita faya tingisha.
 
Hatulalamiki tumeshukuru maana kila mtu alituona kama wezi, wadhulumaji na watu wasiofaa katika jamii bila kujali mchango wetu kwa jamii hata kama ni mdogo.

Aaaahhh……..muondoke bana nanyi mlizidi…..vikoba vyenu vinawafanya mnakuwa kama ni lazima tuwalipie marejesho……Kinana ameongea jambo la msingi sana…..
 
Kinachosikitisha ni polisi kuwapa watu leseni bila mafunzo ya kutosha, mtu anaendesha tractor bila tahadhara je ana leseni, power tiller maeneo ya chimala, kibaigwa na kwingineko yanasabisha ajali sana polisi wapo miaka yote, Sasa wanataka kujazana barabarani Kwa vile mzembe ameendedha Gari usiku bila reflectors!? Hii hapana, ningependekeza wazidishwe mafunzo na Sio mafunzo ya kupeaana 5,000/-
 
Badilikeni kima nyie mtu Bongo kuwa na Gari inakuwa kama Adhabu nchi gani hiyo, tena mnatakiwa woote mkalinde benki mtulindie hela zetu shubaaaaaaaaaaaaaaaamittt zenu.
Asante sana ndugu yangu, tumezoea kutukanwa, ubarikiwe sana wewe mwanadamu. Sisi kima tunatamani uwe na leseni, ufuate sheria na alama za barabarani, uwe na bima kwa faida yako, fire extinguisher, gari liwe zima basi hutaona tuna hangaika nawewe mwanadamu.
 
Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.

Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
Duh !! Tuliwaambia Madereva wa kisasa lazima waongezewe matrafiki barabarani sio wapunguzwe jamani !!
 
Kinachosikitisha ni polisi kuwapa watu leseni bila mafunzo ya kutosha, mtu anaendesha tractor bila tahadhara je ana leseni, power tiller maeneo ya chimala, kibaigwa na kwingineko yanasabisha ajali sana polisi wapo miaka yote, Sasa wanataka kujazana barabarani Kwa vile mzembe ameendedha Gari usiku bila reflectors!? Hii hapana, ningependekeza wazidishwe mafunzo na Sio mafunzo ya kupeaana 5,000/-
Udereva wetu wa kizamani tulikuwa tunachukua tahadhari zote mpaka zile za magari au za matrekta yasiyokuwa na reflekta!! Lakini madereva wa sasa wanachojua ni kukanyaga mafuta sana na honi nyingi sana !! Lakini kichwani anawaza mambo mengine kabisa sio barabara wala sio vitu vinavyoweza kutokea barabarani!! Mimi naandika haya from my experience nimeendesha sana na nimesafiri sana kwenye highway’s nawajua madereva wote jinsi wanavyoendesha magari yao !! Ndio maana ukichunguza ajali nyingi hufanywa na madereva wenye umri wa miaka chini ya 40 !!
 
Kwa teknolojia tuliyo nayo sasa hapa nchini ni lazima tufanye hivyo ila siku tukiwa na uwezo wa kufunga camera za kufuatilia mienendo ya vyombo wala huta sumbuka.
Ndio maana huwa tunayalaumu mafisadi papa yanayoiba pesa za serikali maana ndio yanayosababisha kukosekana pesa za kufunga makamera huko barabarani kuwadhibiti madereva wazembe ambao wanaongezeka kila siku !!
 
Swala la kufanyia kazi mawazo ya kisiasa linakera sana, pia lina athari kubwa jeshini, jeshi linapangiwaje na wanasiasa??
 
Baada ya agizo lako, tumeitwa na tupo kwenye utekelezaji. Nadhani ajali ya Usiku wa kuamkia leo imesababishwa na Taa.

Tunashukuru, wengine tumebadilishiwa mpaka idara ila sawa tu. Kila la kheri ndugu Kinana endelea kufurahia ku-drive maana hatuta kusumbua.
Wenye akili wamemwelewa Kanali Kinana. Alimaanisha busara na Elimu vitolewe Kwa Nia njema. Ukaguzi ufanyike Kwa Nia njema. Kama ni taa moja imeungua na umebaini Hivyo mwelekeze akanunue nyingine aje aweke aendelee na safari. Sio kumweka Juani halafu akitoa Elfu 10 taa inawaka .
Watu wanatumia kauli ya Kinana kupotosha umma badala ya kuusaidia
 
Hatuwezi kulifuta, bali tutawahamisha wooote mkafanye kazi nyingine na huku tutaajili vijana waadilifu, wazalendo na wanaojituma kwenye majukumu yao na maeneo mengine tutawekeza kwenye technolojia.
La muhimu ni kuwekeza kwenye Teknolojia .
Mfano kila Penye kituo cha tráfiki pawe na kamera imefungwa . Kwenye Kona Kali. Miinuko au mteremko Ili zitumike kubaini vitendo vya kihalifu ikiwemo Rushwa
 
Mkuu sema ukweli ukipewa mashine ya faini, ukarudisha bila ya pesa INAKUWAJE kwa wakubwa??
Usema mimi nilikwa natoa onyo kwa madereva na kuwapa elimu..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516][emoji3516]
 
Mkuu usikate tamaa, kazi ya Uaskari ni kazi ya wito kama Ualimu na Udaktari na kazi kama hizo.
Tatizo askari huyatumia mamlaka yake zaidi ya kulinda amani ya raia na mali zao., Kwa kuwa akisema 'kaa chini', 'Lete leseni yako', 'Mikono juu' raia hutii.,hayo mamlaka ndio hutumika vibaya...
Lakini pia mifumo ya ajira ndani ya vyombo vya usalama Sio mzuri.
Unawafanya wale waadilifu kustaafu wakiwa maskini na wale Wala rushwa na wapiga Dili kustaafu wakiwa na maisha mazuri na familia Zao. Polisii anaweza akafanya kazi Miaka 30 akiwa na Elimu ya form 4 halafu akastaafu mshahara wake haijafikia Hata Laki 6. Kiinuwa mgongo hakifai mil. 40. Sasa huyo Mtumishi atakuaje mwadilifu kama hajaokoka na kumjua Kristo au awe ana Imani Kali ya kidini.

Kinana yupo Sawa Lakini mfumo Wa kiutumishi hauko Sawa kwenye Jeshi la polisii
 
Back
Top Bottom