TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Ahahahaaaa 😅...Sawa hatukuwa na lolote zaidi ya kupokea rushwa, futeni kitengo kabisa.
Mnaacha majukumu mliyosomea mnaenda kukusanya tozo kwa eneo lisilokuhusu, leo unarudishwa panapokuhusu unaanza kulia aseee!.