Mzee Kingunge alisema CCM imekata Pumzi, kwa sasa inapumulia mashine?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Mwaka 2015 Hayati Kingunge Ngombale Mwiru au Komredi kama Mwalimu alivyopenda kumwita, alisema hadharani kuwa CCM imekata Pumzi.

Leo miaka kumi baadae inaonekana kabisa kumbe CCM ilipokata pumzi mwaka 2015, haikuzinduka na kumbe maisha yake yanategemea kupumulia mashine.

Kumbe woga wa CCM kwa uchaguzi huru ni kwa kuwa yenyewe Iko mahututi haijiwezi.

Pumzika kwa amani msemakweli Mzee Kingunge.
 
Gentleman,
majambazi wa malori, matapeli na waraibu wa kubeti kukabidhiwa jukumu la uhamasishaji na usimamizi wa pesa za kitapeli kidigitali katika harambee ya tone tone,

nawahakikishia hakitaongezeka kiwango cha pesa, na matone yote yatakaushwa na hao vibaka wa kausha damu wanaobebwa na historia ya upigaji pesa kitapeli 🐒
 
Ni matone mangapi ya damu za watanzania yatamwagwa ili CCM itoke madarakani?

Ni matone mangapi ya jasho la watanzania yatamwagika ili CCM itambue ukatili na unyonyaji wanayofanya kwa watanzania?

Ni matone mangapi ya machozi ya watanzania yamwagike ili CCM Ione aibu kuiba kura na kutumia udhalimu na utesaji wakati wa chaguzi ?

Tone tone la Kila Nia njema ya watanzania kuchangishana ni manukato mbele ya kiti cha enzi cha Mungu.
 
yaani vibaka wa kisiasa na matapeli wa pesa zao, wakutapeli tupesa twako tudogo tu, halafu jambazi wa malori akunukishe manukato? Really? 🤣
 
CCM ikawahi ikamkata mwenyewe
Hawa jamaa hawana wema maana ili uwe mwema kwao ni lazima uwe mbaya kwa jamii.

Unadhani ni kwa nini watanzania wengi wanaogopa kuipinga CCM hadharani, ni kwa sababu chama hicho kimejaa watu wabaya.
 
Gentleman,
yaani vibaka wa kisiasa na matapeli wa pesa zao, wakutapeli tupesa twako tudogo tu, halafu jambazi wa malori akunukishe manukato? Really? 🤣

Vibaka wanaotambuliwa na CAG wanakwapua hela za miradi ya wananchi halafu wanategemea USAID iwaendeshee nchi.

Laana ya watanzania Iko juu yao milele.
 
ingawa mara kadhaa imetokea mgonjwa wa namna ulivyoisema ccm anapona na anayesemwa kuwa na afya tele anakufa...
 
CCM ni IMANI ....

Imani haikati PUMZI......

#Milele chama cha kijani !!
 
Hawa jamaa hawana wema maana ili uwe mwema kwao ni lazima uwe mbaya kwa jamii.

Unadhani ni kwa nini watanzania wengi wanaogopa kuipinga CCM hadharani, ni kwa sababu chama hicho kimejaa watu wabaya.
CCM ni imani na imani haina ubaya......

Mizizi ya IMANI ya CCM ni mitakatifu mno..... UTAKATIFU wake umejichimbia mbali sana kule ambako kila uchao kunanadiwa UTULIVU ,AMANI NA USALAMA wa watanzania.....

#Amka na ufungue macho yako!
 
Vibaka wanaotambuliwa na CAG wanakwapua hela za miradi ya wananchi halafu wanategemea USAID iwaendeshee nchi.

Laana ya watanzania Iko juu yao milele.
surely,
jambazi wa malori ya watu anaefahamika nchi nzima, ati ndio muhasibu wa pesa za kitapeli za tone tone?

gentleman ,
mbona mnafanya mzaha sana na kuwadharau wanachadema kiasi hicho? Mtu asie muadilifu ndio mchangishaji pesa? Kweli?🐒
 
CCM ni imani na imani haina ubaya......

Mizizi ya IMANI ya CCM ni mitakatifu mno..... UTAKATIFU wake umejichimbia mbali sana kule ambako kila uchao kunanadiwa UTULIVU ,AMANI NA USALAMA wa watanzania.....

#Amka na ufungue macho yako!
Imani pasipo matendo IMEKUFA!
 
surely,
jambazi wa malori ya watu anaefahamika nchi nzima, ati ndio muhasibu wa pesa za kitapeli za tone tone?

gentleman ,
mbona mnafanya mzaha sana na kuwadharau wanachadema kiasi hicho? Mtu asie muadilifu ndio mchangishaji pesa? Kweli?🐒
Ni ajabu Sana mtu anayetuhumiwa kukatisha uhai wa watu CCM ndiyo imempa madaraka.

Hazina yetu kakabidhiwa fisadi mwenye mapesa chekwa yasiyo na maelezo kayapataje.

CCM Kuna ufisadi wa kimfumo.
 
Mwaka 2015 Hayati Kingunge Ngombale Mwiru au Komredi kama Mwalimu alivyopenda kumwita, alisema hadharani kuwa CCM imekata Pumzi.

Leo miaka kumi baadae inaonekana kabisa kumbe CCM ilipokata pumzi mwaka 2015, haikuzinduka na kumbe maisha yake yanategemea kupumulia mashine.

Kumbe woga wa CCM kwa uchaguzi huru ni kwa kuwa yenyewe Iko mahututi haijiwezi.

Pumzika kwa amani msemakweli Mzee Kingunge.
Kwa sasa hata Mashine zinaanza kufeli
 
Back
Top Bottom