Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Mkuu,Gentleman,
majambazi wa malori, matapeli na waraibu wa kubeti kukabidhiwa jukumu la uhamasishaji na usimamizi wa pesa za kitapeli kidigitali katika harambee ya tone tone,
nawahakikishia hakitaongezeka kiwango cha pesa, na matone yote yatakaushwa na hao vibaka wa kausha damu wanaobebwa na historia ya upigaji pesa kitapeli 🐒
Unatumiaga vinywaji changamshi..hii comment yako ni irrelevant..pole Sana na makasiriko... lecturer.