Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Mkuu,Gentleman,
majambazi wa malori, matapeli na waraibu wa kubeti kukabidhiwa jukumu la uhamasishaji na usimamizi wa pesa za kitapeli kidigitali katika harambee ya tone tone,
nawahakikishia hakitaongezeka kiwango cha pesa, na matone yote yatakaushwa na hao vibaka wa kausha damu wanaobebwa na historia ya upigaji pesa kitapeli 🐒
Tangu Mzee Kingunge afariki CCM imekuwa dhaifu maradufu. Siyo tu imekata pumzi bali pia imekuwa tegemezi kwa wizi wa kura.Kama alitimiza wajibu...CCM Imekuwa imara zaidi ya utabiri wake!
Nyerere ni nani hadi Kila alichokisema kitokee kama alivyotamka yeye?. Nyerere alishasema upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM
Subiri ushindi wa kishindo wa CCM ndio useme wamekata pumzi!Mwaka 2015 Hayati Kingunge Ngombale Mwiru au Komredi kama Mwalimu alivyopenda kumwita, alisema hadharani kuwa CCM imekata Pumzi.
Leo miaka kumi baadae inaonekana kabisa kumbe CCM ilipokata pumzi mwaka 2015, haikuzinduka na kumbe maisha yake yanategemea kupumulia mashine.
Kumbe woga wa CCM kwa uchaguzi huru ni kwa kuwa yenyewe Iko mahututi haijiwezi.
Pumzika kwa amani msemakweli Mzee Kingunge.
Huko kula kwa urefu wa kamba kumeainishwa katika kifungu gani cha katiba ya CCM?!!Imani ya kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake? Nyie majambazi!
Inaonekana neno ugaidi hulielewi.....CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendeleza utawala wao wa kidhalimu.
Muulize Mwenyekiti wa ccm Samia aliitoa wapi?Huko kula kwa urefu wa kamba kumeainishwa katika kifungu gani cha katiba ya CCM?!!
...kwani kila neno analoongea rais liko katibani ?!!Muulize Mwenyekiti wa ccm Samia aliitoa wapi?
Rais wa nchi anatakiwa kuwa makini na matamshi yake! Unfortunately, Samia hana uwezo huo hivyo hulopoka maneno bila kujua implication yake kwa jamii....kwani kila neno analoongea rais liko katibani ?!!
Rais naye ni mwanadamu....
BTW Mh.Rais wetu anakipenda kiswahili na misemo yake.....
#Amkaaa
Haropoki....Rais wa nchi anatakiwa kuwa makini na matamshi yake! Unfortunately, Samia hana uwezo huo hivyo hulopoka maneno bila kujua implication yake kwa jamii.
Kutawala nchi hakutaki uswahili!! A leader must show empathy.Haropoki....
Ni mswahili anayeijua vyema lugha yake....kiswahili kina utajiri wa mengi ....
Unakariri maisha....
#Serikali mbili za JMT milele dumu ,amen!
Nenda mahakamani ukishindwa andamana!Tangu Mzee Kingunge afariki CCM imekuwa dhaifu maradufu. Siyo tu imekata pumzi bali pia imekuwa tegemezi kwa wizi wa kura.
Wewe ni taahira nakupuuza.Inaonekana neno ugaidi hulielewi.....
Unakaribia kuokota Makopo na kulala majalalani.....
KWA 100% AMINAVibaka wanaotambuliwa na CAG wanakwapua hela za miradi ya wananchi halafu wanategemea USAID iwaendeshee nchi.
Laana ya watanzania Iko juu yao milele.
CCM bila mbeleko ya vyombo vya dola na wizi wa kura ni nyepesi kama unyoya.Mwaka 2015 Hayati Kingunge Ngombale Mwiru au Komredi kama Mwalimu alivyopenda kumwita, alisema hadharani kuwa CCM imekata Pumzi.
Leo miaka kumi baadae inaonekana kabisa kumbe CCM ilipokata pumzi mwaka 2015, haikuzinduka na kumbe maisha yake yanategemea kupumulia mashine.
Kumbe woga wa CCM kwa uchaguzi huru ni kwa kuwa yenyewe Iko mahututi haijiwezi.
Pumzika kwa amani msemakweli Mzee Kingunge.
Endelea kulalamika tu CCM mbele kwa mbele. Kwani hujasikia viongozi wako wa Saccos wameshasema hawashiriki uchaguzi 2025!!?Nyerere ni nani hadi Kila alichokisema kitokee kama alivyotamka yeye?
Maneno aliyoyasema miaka 40 iliyopita inakuwaje yawe ndiyo dira yetu Leo hii.
Ni mambo mangapi aliyasema Nyerere na hayakutokea kama alivyotamka yeye. Umesahau kuwa alisema Rais wa awamu ya nne atamuona. Alifanikiwa kumuona?
Nyerere kweli alikuwa ni gwiji kwa siasa za Tanzania, lakini hakuwa kamusi wala msahafu wa siasa hizo.
CCM aliyoisemea Nyerere siyo hii ambayo Kikwete amesema hata hamuachiani glassi za maji.