Mzee Lowassa siku ya kufunga kampeni za urais 2015 alifunga mitaa yote ya Dsm kwa maandamano lakini aliangukia pua!

Najaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.

Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?

Maendeleo hayana vyama!
Ungehesabu kura zake kwa Uwazi kama za Kigamboni Shetani vs Faustine ndo ungekuja hapa domo wazi kuzoza
 
Kwa iyo unataka sema??? Safari hii hamna wa kumbeba magufuli maana wote kuanzia chamani hadi serikakilini wameshamjua kuwa ni very unpredictable.

Amini nakwambia yaliyotokea Malawi yanaenda kutokea Tanzania hapo October 2020.

Kwa wengi kuanzia wafanyabiashara wakubwa, wananchi na viongozi wenzake, ni heri nchi iende kwa Lissu na Chadema maana wameonesha maturity kuliko Magufuli kupata miaka 5 zaidi
 
Kwa iyo unataka sema??? Safari hii hamna wa kumbeba magufuli maana wote kuanzia chamani hadi serikakilini wameshamjua kuwa ni very unpredictable.

Amini nakwambia yaliyotokea Malawi yanaenda kutokea Tanzania hapo October 2020.

Kwa wengi kuanzia wafanyabiashara wakubwa, wananchi na viongozi wenzake, ni heri nchi iende kwa Lissu na Chadema maana wameonesha maturity kuliko Magufuli kupata miaka 5
 
Najaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.

Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?

Maendeleo hayana vyama!
Kwani hakushinda??
 
Matokeo ya Kijecha jecha kwani kuna mtu atashindwa .....!!?
 
Lowasa alimshinda jiwe vibaya amshukuru January malope na wale wachina kwa kuchezea mifumo ya kupokea matokeo ya NEC
 
Back
Top Bottom