johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sizitaki mbichi hiziNajaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.
Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?
Maendeleo hayana vyama!
Ungehesabu kura zake kwa Uwazi kama za Kigamboni Shetani vs Faustine ndo ungekuja hapa domo wazi kuzozaNajaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.
Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?
Maendeleo hayana vyama!
Nimeona uchaguzi unakaribia!Kwani umeona nini jamaa yangu....
Hahahaaaa........ Hahahaaaa.......!Ila kuna watu huwa wanaumia sana wakiona mafanikio ya wengine-muwe wachawi tu
Bwashee mimi natafakari tu!tayari Comrade umeshapanic 🤣 🤣 🤣
comrade tafakari kwa kutulia sindano ikuingie vizuri.Bwashee mimi natafakari tu!
Kwani hakushinda??Najaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.
Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?
Maendeleo hayana vyama!
Matokeo ya Kijecha jecha kwani kuna mtu atashindwa .....!!?Najaribu tu kutafakari nani atavaa viatu vya mzee Lowassa wa 2015 katika uchaguzi mkuu wa mwska huu kupitia upinzani.
Kila nikikumbuka ile nyomi ya Lowassa pale jangwani kisha akaangukia pua, ngachoka kabisa?
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa...... Sioni kabisa kama Chadema mmejiandaa labda aje RC mstaafu awasaidie!comrade tafakari kwa kutulia sindano ikuingie vizuri.
Kwani yamezuiwa au wewe uko Namanyele?Wangeruhusu mapokezi ya lissu waone
Nimeona uchaguzi unakaribia!