Mzee Lowassa yuko wapi?

Basi watakuwa wana mfurahisha nani sasa au nafsi zao?
Msaliti kivipi! We endelea tu kuamini kuwa watu wanaingia kwenye siasa kwa lengo la kukufurahisha wewe.

In God we Trust
 
Siyo siri mzee mamvi tumemmiss sana kwenye siasa za Tanzania, kulikoni? Nani ana taarifa zake za hivi karibuni? Je ameamua kukaa kimya au ameamriwa kukaa kimya?

 
Umati mkubwa sana. Sijui Chadema walifanya trick photography? Lakini kwa crowds Kama hizi huyu anaweza Rais wakati wowote kwa sababu anaweza kuiunganisha nchi.
Wamempiga chini wanasema Hana uhusiano nzuri na Nyerere, lakini utaona familia ya Nyerere haina uhusiano nzuri na hao wanaosema wanaipigania.
Hapa ukitaka Rais Samia ajiuzulu for any reason,huyu ndiye atakuwa the best candidate kumalizia hii awamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…