Mzee Makamba aliwahi kusema 'Ukifanikiwa kuwaondoa Mbowe na Dkt. Slaa CHADEMA itakufa'

Labda alikuwa anawafagilia wanachama wenzake !
Mbona inasemekana iko vile jamaa wanasema ni wa huko huko ??!!
 
Mpaka leo CCM na Serikali wanamuogopa Mbowe. Lissu is a piece cake.
 
Kabla ya Lisu kutangaza nia ya kugombea kiti cha uwenyekiti CHADEMA chama cha CCM kilikuwa kinampiga madongo Mbowe kuwa king'ang'a sasa baada ya Lisu kugombea Mbowe anaonekana mtu wa dola na chama tawala
Hawa wanaharakati wanatuchanganya sana. Wenye chama chao tuwaache wamchague wanayemtaka.
 
Kwa hiyo Lisu mtamu kama wali nazi kwa CCM? 😄 🤣
Ndiyo maana yake. Mtu Hana hela. Hana watu wakubwa financially and politically Wanam back up,, bali ana wapiga kelele mitandaoni. Hata akiitisha maandamano Leo, yeye mwenyewe hawezi kuandamana. Sasa huyo wa nini?
 
Hizo zama zilishapita, Makamba mwenyewe yupo zama hizi?
 
Ndiyo maana yake. Mtu Hana hela. Hana watu wakubwa financially and politically Wanam back up,, bali ana wapiga kelele mitandaoni. Hata akiitisha maandamano Leo, yeye mwenyewe hawezi kuandamana. Sasa huyo wa nini?
Huyo Mbowe ana nini kwa sasa? Chama kinazama siku hadi siku, au unataka kiwe kama TLP au UDP?
 
Yaani siasa za 2025 unaongelea miaka 15 iliyopita! halafu unafikiri hii nchi ni ileile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…