- Thread starter
- #41
Historia ni mwalimu mzuri dogo stay tunedYaani siasa za 2025 unaongelea miaka 15 iliyopita! halafu unafikiri hii nchi ni ileile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Historia ni mwalimu mzuri dogo stay tunedYaani siasa za 2025 unaongelea miaka 15 iliyopita! halafu unafikiri hii nchi ni ileile
Hizo ni mbinu za medani kule jeshini wasema hivyo lengo wanataka wavurugane ili chama kiende hali jojo wao wa relaxMbona wao ndio wanamfagilia sana awe tena Mwenyekiti ??!
Na hapo hapo wanamponda Lissu ??!!
Dr. Kipindi cha Mwendazake alitepeya akanunulia kama Yuda kwa vipande tharasini vya shekelinisahihi na chama kimekufa ndomana anahitajika mtu aina ya Dr slaa kurudisha chama mstalini
Uendawazimu huo, Lissu alikuwa mgombea urais 2020 na aliwasumbua CCM na muuaji Magufuli kitu ambacho Slaa hakufikia, ila wapiga debe wa Mbowe mmechanganyikiwa.Lissu hajawahi zina pengo la Slaa. Lile pengo halizibiki
Tafadhali naomba uweke kipande cha video inayoonyesha Makamba akiongea hayo.Kipindi cha Yusufu Makamba alipokuwa Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) Alipata kusema kuwa akiondoka Mbowe na Dr. Slaa kwenye chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) chama hicho kitakufa
Makamba alisema muhimuli wa CHADEMA uko kwa Mbowe na Dr. Slaa kwamba watu hawa ndio nguzo ya chama hicho
Dr. Slaa alishakwenda na maji kwenye utawala wa mwendazake baada ya kuhongwa ubalozi na kuondoka CHADEMA kisa Edward Lowasa kujiunga chama hicho na kuwa mgombea wa uraisi
Mtu pekee mwenye msimamo aliyebakia ni Mbowe sasa kama mwamba huyu naye atang'oka kwenye uchaguzi wa mwenyekiti huenda kauli ya Mgosi Makamba ikatimia CHADEMA kikafa natural death kifo cha mende
Makamba kwa kipindi hicho hakuona Tundu Lisu kama tishio kwa chama hicho zaidi ya Mbowe na Dr. Slaa
Comasa
Mbona wamesha ondoka na ndio kwanza uhai wake umeanza na umechanganya,hapa tunatarajia kufanya usajili wa marope.Halafu tutamtafuta mzee baba kwa maoni mengine ya ziada.Kipindi cha Yusufu Makamba alipokuwa Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) Alipata kusema kuwa akiondoka Mbowe na Dr. Slaa kwenye chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) chama hicho kitakufa
Makamba alisema muhimuli wa CHADEMA uko kwa Mbowe na Dr. Slaa kwamba watu hawa ndio nguzo ya chama hicho
Dr. Slaa alishakwenda na maji kwenye utawala wa mwendazake baada ya kuhongwa ubalozi na kuondoka CHADEMA kisa Edward Lowasa kujiunga chama hicho na kuwa mgombea wa uraisi
Mtu pekee mwenye msimamo aliyebakia ni Mbowe sasa kama mwamba huyu naye atang'oka kwenye uchaguzi wa mwenyekiti huenda kauli ya Mgosi Makamba ikatimia CHADEMA kikafa natural death kifo cha mende
Makamba kwa kipindi hicho hakuona Tundu Lisu kama tishio kwa chama hicho zaidi ya Mbowe na Dr. Slaa
Comasa
Wanaharakati uchwara na wafwata mkumbo.wengi wao akili kisoda,wanakuokoteza hoja nakuzishadadia bila uhakika wowote.Hii nchi ina watu wenye akili ndogo sana.Hawa wanaharakati wanatuchanganya sana. Wenye chama chao tuwaache wamchague wanayemtaka.
Yani natamani TAL ashindwe tuwaone hao wanaharakati kama watakimbia hiko chama chaoWanaharakati uchwara na wafwata mkumbo.wengi wao akili kisoda,wanakuokoteza hoja nakuzishadadia bila uhakika wowote.Hii nchi ina watu wenye akili ndogo sana.
Mbowe kadakishwa b12 kunguni kama wewe mnalala njaa tu.Mpaka leo CCM na Serikali wanamuogopa Mbowe. Lissu is a piece cake.
Bora mara mia Lowassa kuliko Slaa, Lowassa alivyorudi CCM hakuwahi kuisakama CHADEMA au kudhalilisha harakati za opposition ila lile nyoka lenye vichwa viwili lilishambulia chama lilichotoka(kama afanyavyo Msigwa)...Chadema ilibebwa sana na harakati zilizoongozwa na Dr.Slaa.
..baada ya Slaa kuondoka aliyeziba pengo lake ni Tundu Lissu.
..Mbowe alikuwa radhi amuachie uongozi Edward Lowassa.
Bora mara mia Lowassa kuliko Slaa, Lowassa alivyorudi CCM hakuwahi kuisakama CHADEMA au kudhalilisha harakati za opposition ila lile nyoka lenye vichwa viwili lilishambulia chama lilichotoka(kama afanyavyo Msigwa).
Lowassa effortlessly aliipandisha CHADEMA ikapata idadi ya wabunge ambao hakuna chama cha opposition kimewahi kupata toka mfumo wa multiparty ulivyorudi tena lakini hakuwahi kutukana, kukashifu wala kuwazodoa viongozi wa upinzani.
Slaa will be remembered as a two headed serpent.
Zile ni siasa tu. Yaani waweke mgombea, msimpigie kura muanze kuisingizia ccm? Chama kiweke wagombea majimbo yote, nyie wanachama na mashabiki msimpigie kura mtegemee huruma ya ccm.Kama Mbowe akiendelea kuwa mwenyekiti kwa nguvu ya dola na CCM ndiyo Chadema itakufa kwani hawatapata diwani au mbunge hata mmoja labda wa kuzawadiwa na sponsor wao Samia
Siyo kweli kwamba chadema inaishinkwasab ya Mbowe. Mpenzi kura Lisu muyaone mabadiliko kwa vitendokama mwamba huyu naye atang'oka kwenye uchaguzi wa mwenyekiti huenda kauli ya Mgosi Makamba ikatimia CHADEMA kikafa natural death kifo cha mende
Kuna utofauti wa surface politics na hidden politics.Mbona wao ndio wanamfagilia sana awe tena Mwenyekiti ??!
Na hapo hapo wanamponda Lissu ??!!
Ni kweli mi kunguni nalala na njaa ila ajabu nipo JF kila dakika, kila saa, kila siku, kila wiki, kila mwezi na kila mwaka tangu 2014 nilipojiunga! Ahahahahaha! Na sasa hivi nipo Empire chimbo jipya hapa Nyegezi, Jijini Mwanza! Ahahahahaha!!!Mbowe kadakishwa b12 kunguni kama wewe mnalala njaa tu.
sikweli alijiondoa kwenye ufisadi na matokeo ndo haya effect ya kuondoka kwa dr ndo hiyoDr. Kipindi cha Mwendazake alitepeya akanunulia kama Yuda kwa vipande tharasini vya shekeli
Mbona alishiriki kumpokea?sikweli alijiondoa kwenye ufisadi na matokeo ndo haya effect ya kuondoka kwa dr ndo hiyo