Mzee Makamba aliwahi kusema 'Ukifanikiwa kuwaondoa Mbowe na Dkt. Slaa CHADEMA itakufa'

Mzee Makamba aliwahi kusema 'Ukifanikiwa kuwaondoa Mbowe na Dkt. Slaa CHADEMA itakufa'

Kipindi cha Yusufu Makamba alipokuwa Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) Alipata kusema kuwa akiondoka Mbowe na Dr. Slaa kwenye chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) chama hicho kitakufa

Makamba alisema muhimuli wa CHADEMA uko kwa Mbowe na Dr. Slaa kwamba watu hawa ndio nguzo ya chama hicho

Dr. Slaa alishakwenda na maji kwenye utawala wa mwendazake baada ya kuhongwa ubalozi na kuondoka CHADEMA kisa Edward Lowasa kujiunga chama hicho na kuwa mgombea wa uraisi

Mtu pekee mwenye msimamo aliyebakia ni Mbowe sasa kama mwamba huyu naye atang'oka kwenye uchaguzi wa mwenyekiti huenda kauli ya Mgosi Makamba ikatimia CHADEMA kikafa natural death kifo cha mende

Makamba kwa kipindi hicho hakuona Tundu Lisu kama tishio kwa chama hicho zaidi ya Mbowe na Dr. Slaa

Comasa
haifi zama zimebadilika labda angekuwa hai ndo ingekufa
 
Siyo kweli kwamba chadema inaishinkwasab ya Mbowe. Mpenzi kura Lisu muyaone mabadiliko kwa vitendo
Tundu anaonekana mropokaji hana kaba ndio maana wajuzi wa mambo wanaona nafasi hio haimfai anatakiwa kuwa controlled chini ya mtu mwenye hekima
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Kwamba Mbowe ni immortal asiye na mrithi/ mbadala?
 
Back
Top Bottom