Mzee Yusuph Makamba amesema "Tusimfundishe namna ya kufanya kazi hatumtendei haki...niulize kwa haya yanayoendelea je kuna mwenye mashaka tena na uwezo wake hadi sasa? Rais Samia kwetu Watanzania ni kiongozi bora, anatosha. Wakae watulie sasa"
Ameongeza kuwa "Muhimu tumwombee kwa kuwa ni kiongozi makini anayeamua mambo kwa busara,msikivu na anajua hapa niseme nini,nifanye nini,angeamua kukaa kimya na hii ripoti kufanywa kwa kificho tusingeyajua, kutokana na uchungu alionao ameweka wazi,"Mzee Makamba
Kwa wazalendo na watanzania wenye akili timamu lazima wamuelewe huyu mzee ameongea maneno ya busara sana pia hata sisi watanzania tunajua kuwa Rais Samia Suluhu anaendelea kutuonyesha kazi nzuri anayoifanya hasa katika kupambana na wabadhilifu