#COVID19 Mzee Makamba: Askofu Gwajima na Polepole hawavumiliki. Lazima wajue uhuru wao unaishia Bungeni

Issue siyo kukataa chanjo ni kumtukana na kumdharau raisi!!!! Anamdhalilisha sana raisi pamoja na kuwa raisi katuudhi kutuwekea tozo kwenye miamala na luku, si sawa!!
Sasa kwanini Msimkamate Mkuu?
 
1. Mzee Makamba unajua kundi lote la Kigogo. Na kiongozi wa kundi hilo ni damu yako. Mbona humkatazi kuikashifu serikali na viongozi wake?

2. Mzee makamba wewe ndiye baba mzazi wa mwezi wa kwanza, kwa hiyo umeamua kujipendekeza kwa chama ili mwezi wa kwanza akumbukwe katika uongozi serikalini?

3. Mzee Makamba ulimtusi marehemu JPM, je wewe ulikuwa na haki kichama ya kumtukana Raisi?

ACHA WATU WATUMIE UHURU WAO WA KUTOA MAONI MZEE.
 
What the mRNA vaccine does is to deliver the spike protein for the body to produce antibodies against. And this is done in the cytoplasm, sio kwenye nucleus ambako DNA ipo.
 
Yeye mbona alivumiliwa enzi za chuma, ama kweli Paka akiondoka panya hutawala. Kama mzee na mwanae wana mzigo wao wa chanjo wauingize sokoni tu
 
What the mRNA vaccine does is to deliver the spike protein for the body to produce antibodies against. And this is done in the cytoplasm, sio kwenye nucleus ambako DNA ipo.
Limiting vaccine to spike protein allows variants to escape immunity much easier than from natural immunity to whole, live virus. These variants then become dominant. Dozens of medical journals have shown very clearly that the spike proteins themselves are highly problematic, and amongst other things are associated with formation of blood clots, both large and small.

The spike protein of SARSCoV2's #DeltaVariant drives 2 critical events: Membrane fusion, which means docking on the cell surface to initiate infection. But it also drives the deadly business of evading the immune system, a factor that makes delta deadly.

You seems as an educated person, i suggest you go and study various articles that presents an alternative to what the mainstream media and politicians tell you. Facts will set you free and u'll eventually make a decision based on facts rather than lies that you are being fed by those who are in BIGpharma payrolls.
 
Wafukuzwe uanachama mara moja kama walivyofanyiwa Covid-19.
 
How come kukataa kuchanjwa mwili wangu iwe ni dharau kwa mwingine?!
Shida sio wewe kukataa chanjo, ...ila ni uzushi na kashfa nyingi unazomwaga kwa rais kwa kuridhia watu kupata chanjo kwa hiari yao!
 
Amefufuka katika wafu
 
Mimi ninachojua chanjo ni hiari. Anayetetea kuchanja ana haki sawa na anayekataza watu wasichanje.

Hivyo, wote wapo sawa, wote haki zao ni sawa.
WAFUKUZWE. WANAMPINGA NA KUMUDHARAU M/KITI WA CCM.
 
Huyu mtu anatumiwa na shetani si kingine chochote. Inapofikia mtu anasema watu hawavumliki, anaweza kufahamu namna gnai watu wangapi wameumizwa na genge lake lakini wamevumilia? Iko siku ya kuto a hesabu.
 
Kila nafsi itaonja umauti. Hii kauli ya kusema hafi mtu hapa ni ujinga
Kifo ni haki ya mwanadamu
Kifo ni failure to live. So once you die it is due due your failure to surve and live. Kwa hiyo siyo mpango wa mungu
 
Mzee Makamba anasema Askofu Gwajima na Polepole hawavumiliki ndani ya CCM kwakuwa wamekuwa wamekuwa wakipingana na Serikali hasa kwenye swla hili la chanjo.
Mbona wanao sapoti uhiyari wa chanjo wanapigwa sana.
 
WAFUKUZWE. WANAMPINGA NA KUMUDHARAU M/KITI WA CCM.
Asiyepingwa ni Mungu pekee. mwenyekit waccm si Mungu na mara nyingi tu ameafanya makosa. Umbeni watu wenu muwafanye misukule wa kuwafuata kila mnakowapeleka kwa kuyumba kwa mawazo yenu yaliyojaa hila. Kila siku mnabadilika, watu wafuate kipi ni sahihi? Umbweha huu acheni mara moja.
 
Kila nafsi itaonja umauti. Hii kauli ya kusema hafi mtu hapa ni ujinga
Kifo ni haki ya mwanadamu
Kifo ni failure to live. So once you die it is due due your failure to surve and live. Kwa hiyo siyo mpango wa mungum
at that age unachokisubiri ni kuitwa na Mungu.
Mungu huwa haiti mtu na hana haja na watu ila ni failure tu. Ukifa maana yake umeshindwa kuishi
 
How come kukataa kuchanjwa mwili wangu iwe ni dharau kwa mwingine?!
Kwanza yeye Mzee Makamba Kesha chanja au anatuzuga tu, maana kwenye hili game la Corona full mapichapicha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…