Mzee Makamba, Kama unataka January awe Rais chunga ulimi wako usimharibie

CCM wanachoniudhi ni kufikiri wazee wa miaka zaidi ya 80 wana mawazo mapya....ujinga mtupu.

Vijana wa CCM sijui wapo wapi maskini.
 
naona kabisa gap lakuiangusha CCM siku mbili hizi..

yaani ikipigwa amsha amsha kwa vijana nawazee wote kuidai nchi yao basi mpaka kufika January kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu CCM itakuwa haipo..

kinachotakiwa kwa sasa ni kuamsha hasira za watanzania dhidi ya CCM...
 
Wote tumekubaliana sasa nchi inamilikiwa na kikundi cha watu wachache, wanatuchagulia Rais na kutupangia safu ta uongozi..

Mpaka lini itakuwa hivi? kama huna connection, wala sio chawa wao maana yake utaendelea kusaga lami na familia yako milele...
 
Huyu Mzee anaamini mwanaye January Makamba ni presidential material. Shida Mzee hajui kuchagua cha kuongea kwenye halaiki.

Kwa kufanya hivyo anajikuta akimtengenezea mwanaye maadui yeye akijua anamjenga na kumuandalia njia kupitia wakubwa.

Mzee Makamba Kama unataka January awe Rais wa Tanzania chunga ulimi wako usimharibie.
Rubbish, January kuwa rais? kwa sifa zipi? au kwa vile ana wa kumpigia filimbi (baba yake)
 
Kwa hali ya siasa inavyo elekea kama Chadema wasingefanya upuuzi na unafiki wa kumleta Lowasa Ukawa kwa hali ilivyo hivi sasa Chadema ingekuwa mioyoni mwa watu.

Sijui upinzani wamejipangaje ila tozo, mgao wa umeme, kodi na upandaji wa mafuta umewagusa sana watu wa chini.Ukichenji elfu 10 inayeyuka faster, hiyo laki ndio kabisa, yaani hela ngumu halafu hazikai.

Tatizo kila nikiwatizama upinzani simuoni mtu,huku kwenye tawala ndio kabisa HAMNA. So naamini nchi yetu tutasonga kwa huruma ya Mungu.
 
Under the invisible leadership of honorable Kikwete in ccm Makamba jr will be the president of this country. If one impresses the "owner" (Kikwete) of the party no hurdles ahead. Makamba jr has fulfilled this condition
Natamani iwe hivyo, Ila 2030 naona nguvu ya JK itakua imepungua sana
 
Kwa hali ya siasa inavyo elekea kama Chadema wasingefanya upuuzi na unafiki wa kumleta Lowasa Ukawa kwa hali ilivyo hivi sasa Chadema ingekuwa mioyoni mwa watu.

Sijui upinzani wamejipangaje ila tozo, mgao wa umeme, kodi na upandaji wa mafuta umewagusa sana watu wa chini.Ukichenji elfu 10 inayeyuka faster, hiyo laki ndio kabisa, yaani hela ngumu halafu hazikai.

Tatizo kila nikiwatizama upinzani simuoni mtu,huku kwenye tawala ndio kabisa HAMNA. So naamini nchi yetu tutasonga kwa huruma ya Mungu.
Hela ngumu mno na umasikini umeshika kasi
 
Sio rahisi hivyo. Kikwete alikuwa anajua kabisa baada ya Mkapa ni yeye ila 2005 alipita kwa mbinde. CCM sio CHADEMA ambao hadi wakati wa uchaguzi mwenyekiti anaweza badili jina la mgombea na kumweka anayetaka yeye.
Kweli kabisa, mwaka 2030 kutakuwa na wanasiasa wengi wapaya ambao watabadili uwelekeo wa chama.
 
Huyu Mzee anaamini mwanaye January Makamba ni presidential material. Shida Mzee hajui kuchagua cha kuongea kwenye halaiki.

Kwa kufanya hivyo anajikuta akimtengenezea mwanaye maadui yeye akijua anamjenga na kumuandalia njia kupitia wakubwa.

Mzee Makamba Kama unataka January awe Rais wa Tanzania chunga ulimi wako usimharibie.
Japo simpendi magufuli kwa lolote, lakini yeye ndio dawa ya mzee makamba na mtoto wake january.
 
Huyu Mzee anaamini mwanaye January Makamba ni presidential material. Shida Mzee hajui kuchagua cha kuongea kwenye halaiki.

Kwa kufanya hivyo anajikuta akimtengenezea mwanaye maadui yeye akijua anamjenga na kumuandalia njia kupitia wakubwa.

Mzee Makamba Kama unataka January awe Rais wa Tanzania chunga ulimi wako usimharibie.
Alishakueleza hayo?, acha upimbi. Mzee alimwaga points.
 
Jamaaa hauwez urais n tamaa tu ndo ina mwongoza
 
Huyu Mzee anaamini mwanaye January Makamba ni presidential material. Shida Mzee hajui kuchagua cha kuongea kwenye halaiki.

Kwa kufanya hivyo anajikuta akimtengenezea mwanaye maadui yeye akijua anamjenga na kumuandalia njia kupitia wakubwa.

Mzee Makamba Kama unataka January awe Rais wa Tanzania chunga ulimi wako usimharibie.
Baada ya awamu hii, tumekubaliana anaefuata ni Makonda,, au nasema uongo nduguzanguni🤷🏽‍♂️
 
Back
Top Bottom