Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Mathread hafai kuwa hata kiongozi wa mateja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ubishi, JM ni presidential material!January Makamba ni presidential material.
Kama unataka January awe Rais wa Tanzania chunga ulimi wako usimharibie.
Rubbish, January kuwa rais? kwa sifa zipi? au kwa vile ana wa kumpigia filimbi (baba yake)Huyu Mzee anaamini mwanaye January Makamba ni presidential material. Shida Mzee hajui kuchagua cha kuongea kwenye halaiki.
Kwa kufanya hivyo anajikuta akimtengenezea mwanaye maadui yeye akijua anamjenga na kumuandalia njia kupitia wakubwa.
Mzee Makamba Kama unataka January awe Rais wa Tanzania chunga ulimi wako usimharibie.
Natamani iwe hivyo, Ila 2030 naona nguvu ya JK itakua imepungua sanaUnder the invisible leadership of honorable Kikwete in ccm Makamba jr will be the president of this country. If one impresses the "owner" (Kikwete) of the party no hurdles ahead. Makamba jr has fulfilled this condition
Wavaa makobazi wafatane wawili hicho kitu hakipo.Natamani iwe hivyo, Ila 2030 naona nguvu ya JK itakua imepungua sana
Hela ngumu mno na umasikini umeshika kasiKwa hali ya siasa inavyo elekea kama Chadema wasingefanya upuuzi na unafiki wa kumleta Lowasa Ukawa kwa hali ilivyo hivi sasa Chadema ingekuwa mioyoni mwa watu.
Sijui upinzani wamejipangaje ila tozo, mgao wa umeme, kodi na upandaji wa mafuta umewagusa sana watu wa chini.Ukichenji elfu 10 inayeyuka faster, hiyo laki ndio kabisa, yaani hela ngumu halafu hazikai.
Tatizo kila nikiwatizama upinzani simuoni mtu,huku kwenye tawala ndio kabisa HAMNA. So naamini nchi yetu tutasonga kwa huruma ya Mungu.
Kweli kabisa, mwaka 2030 kutakuwa na wanasiasa wengi wapaya ambao watabadili uwelekeo wa chama.Sio rahisi hivyo. Kikwete alikuwa anajua kabisa baada ya Mkapa ni yeye ila 2005 alipita kwa mbinde. CCM sio CHADEMA ambao hadi wakati wa uchaguzi mwenyekiti anaweza badili jina la mgombea na kumweka anayetaka yeye.
DuuuhHakuna ubishi, JM ni presidential material!
Jee hivi ni kumharibia?.
January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President na
January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in TZ!. na January Makamba live! Ndani ya Mikasi EATV!. Watch Now!
P
Sijakupata[emoji706]
Japo simpendi magufuli kwa lolote, lakini yeye ndio dawa ya mzee makamba na mtoto wake january.Huyu Mzee anaamini mwanaye January Makamba ni presidential material. Shida Mzee hajui kuchagua cha kuongea kwenye halaiki.
Kwa kufanya hivyo anajikuta akimtengenezea mwanaye maadui yeye akijua anamjenga na kumuandalia njia kupitia wakubwa.
Mzee Makamba Kama unataka January awe Rais wa Tanzania chunga ulimi wako usimharibie.
Alishakueleza hayo?, acha upimbi. Mzee alimwaga points.Huyu Mzee anaamini mwanaye January Makamba ni presidential material. Shida Mzee hajui kuchagua cha kuongea kwenye halaiki.
Kwa kufanya hivyo anajikuta akimtengenezea mwanaye maadui yeye akijua anamjenga na kumuandalia njia kupitia wakubwa.
Mzee Makamba Kama unataka January awe Rais wa Tanzania chunga ulimi wako usimharibie.
Baada ya awamu hii, tumekubaliana anaefuata ni Makonda,, au nasema uongo nduguzanguni🤷🏽♂️Huyu Mzee anaamini mwanaye January Makamba ni presidential material. Shida Mzee hajui kuchagua cha kuongea kwenye halaiki.