johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, mzee Makamba ameishukuru Serikali ya Awamu ya 6 kwa kuwaletea maji ya bomba Bumbuli.
Mzee Makambà amesema katika umri wake wa miaka 84 sasa amekuwa akishuhudia akina mama wa Bumbuli wakiteka maji visimani na kubeba ndoo kichwani.
Source: ITV
Mzee Makambà amesema katika umri wake wa miaka 84 sasa amekuwa akishuhudia akina mama wa Bumbuli wakiteka maji visimani na kubeba ndoo kichwani.
Source: ITV