Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hivo makamba Jr si alikuwa mbunge wa bumbuli alifanya nini sasa mbona anamwumbia kijana wakeMzee mwongo sana huyu sijui anaizungumzia Bumbuli ya wapi huyu labda kwao Mahezangulu, Bumbuli kitambo sana maji ya bomba yapo na wala hayakuletwa na Serikali bali wananchi wenyewe walijiongeza.
Hawa wazee nongwa Sana. Wanafiki wakubwa na Mungu atawachapa viboko Hamsa! Wamekuwa kwenye madaraka from time immemorial, Leo ndiyo anaona Maji? Kulikuwa na ugumu gani kuamrisha maji yapelekwe huko? Asema mwanae awamu ya sita imemtambua na kumpa madaraka ya wizara Nyeti!Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM mzee Makamba ameishukuru serikali ya awamu ya 6 kwa kuwetea maji ya bomba Bumbuli.
Mzee Makambà amesema katika umri wake wa miaka 84 sasa amekuwa akishuhudia akima mama wa Bumbuli wakiteka maji visimani na kubeba ndoo kichwani.
Source: ITV
Ni Rahisi sana kulaumu, Hili sio kosa la chama au serekali, bali ni tatizo kubwa la sie wananchi na haswa WAFRIKA, hatuna upendo wa Nchi au UMMA, bali tuna UMIMI sana. hata mie na wewe leo tukipewa Uwaziri cha kwanza tutafikiria tupore nini na kujitajirisha binafsi, ndugu na rafiki. shida ni fikra zetu, na tukisha ibaa tunasipeleka mali Ulaya ama Dubai kuzificha na kuwatajirisha wengine. Pesa inayofichwa kwenye mabenki ya njee zinatumika kuwaletea faida hayo mabenki na nchi zao.Nikadhani anasema leo ameona mabomba yanatoa asali Bumbuli kumbe ni maji tu, tena baada ya miaka 84! CCM imechoka sana.
Ina maana alishindwa hataa kuitumia nafasi yake ya ukatibu mkuu kufikisha huduma jimboni kwake?mpk anakuja kua babu?🤣Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM mzee Makamba ameishukuru serikali ya awamu ya 6 kwa kuwetea maji ya bomba Bumbuli.
Mzee Makambà amesema katika umri wake wa miaka 84 sasa amekuwa akishuhudia akima mama wa Bumbuli wakiteka maji visimani na kubeba ndoo kichwani.
Source: ITV
Wazee wajinga kama hawa, utadhani nchi ilikuwa chini ya CHADEMA mpaka 2021Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM mzee Makamba ameishukuru serikali ya awamu ya 6 kwa kuwetea maji ya bomba Bumbuli.
Mzee Makambà amesema katika umri wake wa miaka 84 sasa amekuwa akishuhudia akima mama wa Bumbuli wakiteka maji visimani na kubeba ndoo kichwani.
Source: ITV
NI mambo ya kijinga snNikadhani anasema leo ameona mabomba yanatoa asali Bumbuli kumbe ni maji tu, tena baada ya miaka 84! CCM imechoka sana.
Watawala wa Africa wengi wamelaani tupuNi Rahisi sana kulaumu, Hili sio kosa la chama au serekali, bali ni tatizo kubwa la sie wananchi na haswa WAFRIKA, hatuna upendo wa Nchi au UMMA, bali tuna UMIMI sana. hata mie na wewe leo tukipewa Uwaziri cha kwanza tutafikiria tupore nini na kujitajirisha binafsi, ndugu na rafiki. shida ni fikra zetu, na tukisha ibaa tunasipeleka mali Ulaya ama Dubai kuzificha na kuwatajirisha wengine. Pesa inayofichwa kwenye mabenki ya njee zinatumika kuwaletea faida hayo mabenki na nchi zao.
Shica ya Maji ipo kila nchi za Kiafrika, Tena sasa TZ tuna Afadhali sana kuliko nchi nyingi, lakini hata hivyo bado sana. Kuna shida ya Afya, Maji, Lishe, Kazi n.k.....
Hapo Machame mabomba mnayo?Anamaanisha CCM imeingia madarakani awamu ya 6 ?
Rombo maji tunachota nchi jiraniWazee wajinga kama hawa, utadhani nchi ilikuwa chini ya CHADEMA mpaka 2021
Hakutaka kujipendelea kama yule Mpare aliyepeleka umeme Mlimani tena enzi za Mchonga!Alikuwa kiongozi miaka yote alishindwa nini kupeleka maji, shame upon him
Mpuuzi weweRombo maji tunachota nchi jirani
Unaulizia ulanzi Kihesa?Hapo Machame mabomba mnayo?
Najua tunguli moja dogo ktk Ulimwengu wa ROHO ukubwa wake ni sawa na uwanja wa Mkapa,Mzee Makamba wenye Akili tunajua kuwa Unamsifia sana Rais Samia ili afurahi na asimtumbue Mwanao Kipenzi Waziri January Makamba ambaye hakuna cha Tija alichokifanya zaidi tu ya kila Siku kutubadilishia Suti na Kujilambalamba tu Mdomo wake.
Na nasikia Unaroga mno asitumbuliwe.