johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Maji ya visimaHuo mji maji yako kitambo sana.
Kwanza hawalipi bills za maji.
Labda huko kijijini kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maji ya visimaHuo mji maji yako kitambo sana.
Kwanza hawalipi bills za maji.
Labda huko kijijini kwake.
Huyo mwanawe ni bogus kabisa na wala hana sifa ya kuwa Mbunge wa Bumbuli mara zote amekuwa akipita bila kupingwa Kwa kuwahonga pesa wapinzani wake dakika za majeruhi wajitoe,kumbuka alipiga B 2 za NSSF ndiyo zinampa jeuriHata hivo makamba Jr si alikuwa mbunge wa bumbuli alifanya nini sasa mbona anamwumbia kijana wake
Huku hakuna visima,kuna maji ya bomba yanayotoka kwenye chemichem zilizoko milimaniMaji ya visima
Mbuge wa Jimbo alikuwa naniKatibu Mkuu Mstaafu wa CCM, mzee Makamba ameishukuru Serikali ya Awamu ya 6 kwa kuwetea maji ya bomba Bumbuli.
Mzee Makambà amesema katika umri wake wa miaka 84 sasa amekuwa akishuhudia akina mama wa Bumbuli wakiteka maji visimani na kubeba ndoo kichwani.
Source: ITV
Katibu Mkuu wa CCM hukuliona hilo tatizo la maji? umekuja kuliona leo ukiwa na miaka 84?Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, mzee Makamba ameishukuru Serikali ya Awamu ya 6 kwa kuwetea maji ya bomba Bumbuli.
Mzee Makambà amesema katika umri wake wa miaka 84 sasa amekuwa akishuhudia akina mama wa Bumbuli wakiteka maji visimani na kubeba ndoo kichwani.
Source: ITV
Mgosi huyu matata sana. Kwenye mtonyo hakai mbali. Kwa jk alisikika akisema "katika ufalme wako mzee usinisahau"; akaingia jpm akapiga " mtabatizwa kwa moto" akijua ni kina sisi tu hadi pale yalipo mkuta. Naona sasa katafuta pa kutokea kwa mama. Aina hii ya wazee hatufiki mbali kwani yeye la muhimu ni kufurahisha watawala ili awe karibu na chungu.mzee makamba chawa anaejua kunyonya damu
Wazee kama hawa ndio walitufikisha kama Taifa lililokwama kiuchumi,kidemokrasia.Mgosi huyu matata sana. Kwenye mtonyo hakai mbali. Kwa jk alisikika akisema "katika ufalme wako mzee usinisahau"; akaingia jpm akapiga " mtabatizwa kwa moto" akijua ni kina sisi tu hadi pale yalipo mkuta. Naona sasa katafuta pa kutokea kwa mama. Aina hii ya wazee hatufiki mbali kwani yeye la muhimu ni kufurahisha watawala ili awe karibu na chungu.
Kwenye kampeni alikuwa akidanganya kuwa kwao akina mama hawabebi ndoo za maji kichwani kwani mabomba yametapakaa kijijini kwao, Magufuli anawasalimu yuko ofisini anachapa kazi.Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, mzee Makamba ameishukuru Serikali ya Awamu ya 6 kwa kuwaletea maji ya bomba Bumbuli.
Mzee Makambà amesema katika umri wake wa miaka 84 sasa amekuwa akishuhudia akina mama wa Bumbuli wakiteka maji visimani na kubeba ndoo kichwani.
Source: ITV
Maccm yana roho za kishetani,hawajaliAibu sana eh
Hivi unajisikiaje kupita na vi8
La mln 400 alafu maeneo yako yana shida ya maji
Ova
Mzee unasikitisha sana. Muda wote umekuwa na madaraka nchi hii, RC Dar mpaka kuwa Katibu Mkuu wa CCm, hukuona kwamba Bumbuli haikuwa na maji ndio umeona sasa yakitoka!!!? Shame on u. Tatizo Ni kushangilia shangilia tu na kulamba asali bila kukumbuka nyumbani. Mzee tulia Tegeta nyuki Makba jr unae.Haja quote na Bible au Quran kweli huyu mbabaishaji ?
Mkuu haka kazee kanafiki sana, hapo anaposema ni kwao Mahezangulu..hovyo kabisa.Mzee mwongo sana huyu sijui anaizungumzia Bumbuli ya wapi huyu labda kwao Mahezangulu, Bumbuli kitambo sana maji ya bomba yapo na wala hayakuletwa na Serikali bali wananchi wenyewe walijiongeza.
!!! Mwanaye alikuwa anafanya nini bungeni kama bumbuli maji hayakuwepo?Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, mzee Makamba ameishukuru Serikali ya Awamu ya 6 kwa kuwaletea maji ya bomba Bumbuli.
Mzee Makambà amesema katika umri wake wa miaka 84 sasa amekuwa akishuhudia akina mama wa Bumbuli wakiteka maji visimani na kubeba ndoo kichwani.
Source: ITV
Mzee wa kulamba asali huyomzee makamba chawa anaejua kunyonya damu
Mzee wa kulamba asali huyoMzee Makamba wenye Akili tunajua kuwa Unamsifia sana Rais Samia ili afurahi na asimtumbue Mwanao Kipenzi Waziri January Makamba ambaye hakuna cha Tija alichokifanya zaidi tu ya kila Siku kutubadilishia Suti na Kujilambalamba tu Mdomo wake.
Na nasikia Unaroga mno asitumbuliwe.
Mzee wa diliMiaka yote hiyo ilikuwa na nafasi ya kuyawezesha hayo Leo unakuja na utumbo hapa. Mlikuwa mnalamba asali tuu Kwa matumbo yenu. CCM ukoo wa panya buku.!!