johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yeye ndie aliesababisha haya yatokee,halafu eti anashukuru,hopeless kabisa ,akiwa katibu mkuu wa ccm aliendekeza majungu na uchawi tuKatibu mkuu mstaafu wa CCM mzee Makamba ameishukuru serikali ya awamu ya 6 kwa kuwetea maji ya bomba Bumbuli
Mzee Msmambà amesema katika umri wake wa miaka 84 sasa amekuwa akishuhudia akima mama wa Bumbuli wakiteka maji visimani na kubeba ndoo kichwani
Source ITV
Januari ni mbunge wa hilo jimbo tangu 2010,maana yake hadi mwanae ni mpuuzi hafai.Katibu mkuu mstaafu wa CCM mzee Makamba ameishukuru serikali ya awamu ya 6 kwa kuwetea maji ya bomba Bumbuli
Mzee Msmambà amesema katika umri wake wa miaka 84 sasa amekuwa akishuhudia akima mama wa Bumbuli wakiteka maji visimani na kubeba ndoo kichwani
Source ITV
Nikadhani anasema leo ameona mabomba yanatoa asali Bumbuli kumbe ni maji tu, tena baada ya miaka 84! CCM imechoka sana.
Mzee Makamba wenye Akili tunajua kuwa Unamsifia sana Rais Samia ili afurahi na asimtumbue Mwanao Kipenzi Waziri January Makamba ambaye hakuna cha Tija alichokifanya zaidi tu ya kila Siku kutubadilishia Suti na Kujilambalamba tu Mdomo wake.Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM mzee Makamba ameishukuru serikali ya awamu ya 6 kwa kuwetea maji ya bomba Bumbuli...
Miaka yote hiyo ilikuwa na nafasi ya kuyawezesha hayo Leo unakuja na utumbo hapa. Mlikuwa mnalamba asali tuu Kwa matumbo yenu. CCM ukoo wa panya buku.!!Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM mzee Makamba ameishukuru serikali ya awamu ya 6 kwa kuwetea maji ya bomba Bumbuli...