Mzee Makamba: Katika umri wangu wa miaka 84 leo ndio nayaona maji ya bomba Bumbuli, ahsante awamu ya 6

Basi chadema walituchelewesha sana katika awamu yao ya uongozi
 
Na maono yatimie kwa kadri uombavyo, maana waomba katika nia njema. Amen.
 
Kuna maneno mengine unaenda kulewa tu kwa hasira Halafu unalia kikwenu mpaka basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…