Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

JK na JPM sivyo kama tunavyowazungumzia mitandaoni. JPM anaweza kuikosoa atakavyo serikali ya awamu ya nne na zile zilizopita lakini mmoja wa washauri wake wa karibu ni JK. Hivyo wanavyokaa pamoja atakayeumia anaweza kuwa ni askofu.
Gwajima hajawahi kushindwa na propaganda za ccm
 
Huyu Mzee ndio mwenye laana maana hakuna anatetea wasiitenda haki asiye na laana pamoja nao
 
kwani kardinali pengo ni mtume
 
January Makamba mwanaye na yeye jana wakati nahijiwa kuhusu mapambano ya serikali kuhusu pombe za viroba alisema, Vita hii imefanikiwa kwa sababu sisi tulikuwa very clear na agenda yetu, hatukubinafsisha vita hii kwa mtu mmoja, bali tuliachia vyombo vya serikali kama TFDA, TBS, polisi waendeshe vita hii. Kwa statement kama hii alitaka kutuma ujumbe gani?, kwamba vita nyingine kama hiyo kuna mtu alijibinfsishia na akaacha vyombo vya dola pembeni?
 
JPM anayo bahati mbaya moja, analazimika kufanya kazi na makombo mengi ya JK. Hana ujanja kwa sababu hawa ni watu ambao walisota pamoja nae juani wakati wa kipindi cha kufanya kampeni.

Lakini JPM hayuko nao katika viwango sawa vya kimaadili. Bado wanazo mentalities za ujana, hawataki kuachana na ujana. Lakini kuwa wasaidizi wa mkuu wa nchi ni zaidi ya ujana.
 
si kweli mkuu watu wameumizwa saaana ,ndg zao wametimuliwa vyuoni,dada na kaka wamefukuzwa kazi kisa vyeti feki kwa nn asiwe Bashite
Mkuu unao uwezo wa kuzithibitisha tuhuma?. Viongozi wakuu wa nchi sio kila mara hufanya kazi kwa presha ya watu. Vipo vyombo ambavyo vinaendelea na kazi ndani ya wakati huu.

Jamii ya kitanzania inakuwa na upeo mwepesi sana kwa sababu haitaki kutumia nguvu kubwa kwenye kusoma kwa ajili ya kuelimika. Very wrong thinking.
 
Mzee Yusufu Makamba ameropoka kwa kutojua maandiko ya Biblia kwa usahihi wake. Asamehewe bure !

Askofu Gwajima hawezi kulaaniwa na askofu Pengo kwa kuwa hana uwezo huo kibiblia.
Kuna vyanzo na sababu za kibiblia za MTU kupatwa na laana.

As the bird by wandering, as the swallow by flying, so the curse causeless shall not come.
 
Kama laana wote wanazo,mbona na yeye Ana laana kwanza ya kupiga siyo kutukana ya mzee warioba
 


HUYU MZEE ALITAFUTA AJIRA YA MWANAWE KWA MKUU, NA BADO AKATAFUTA AJIRA YA DADA YAKE KWA MKUU - AKAKATALIWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…