Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

Mmmmh nchi hii ina vituko kati gwajima na mzee mskambi Nani ana laana? Mzee mpaka Leo mbinguni kikapu cha matusi mbona kimejaa sana
 
Pengo hana Mungu wa kumlaani Gwajima..ila Mdee atashinda tu kwakuwa yuko home ground..
 
Duh...!.
Japo siungi mkono kauli hizi za Gwajima kumtukana Pengo, ila
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
 
Huyu mteuliwa huoni kama jamaa wa dada Halima watakuwa na wakati mwepesi ukizingatia kuwa upo ushahidi wa video za kuwakejeli waislam na askofu Pengo?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…