Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisaHabari ya mujiiiniiii kwa sasa ni Bashite alete vyeti tu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]fa fa fa fa fa fa yule kiumbe yuleeee akazunguuuushaaaa
OlikifweelaSwali lako limejumuisha watu wawili tofauti kabisa, wenye historia zisizofanana, na ambao vyanzo vya kuchukiwa kwao ni tofauti pia.
kibombo kya nyokoMpeleke huyo mtoto wa Makonda kituo cha watoto yatima wakusaidie kulea - Pole kwa kutelekezwa
tunza ile klip alofika kilele ch kilimanjaro ndani ya sekunde sita, ile ya kumtukana bashite na kumtukana pengo, tutazitumia baadae.Tunakumbushana tu.
Mzee Makamba anadai kuwa Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo. Na kwa tafsiri ya kiafrika mtu mwenye laana siku zote hufanana na mtu aliyechanganyikiwa. Ayafanyayo huwa kituko kwa wanaomzunguka, huwafanya watu waingiwe na huruma.
Lakini naamini lengo la Mzee Makamba kumsema Askofu Gwajima ni kumuongezea uadui miongoni mwa wanajamii kwa kuanzia na watu wanaosali kwake. Lengo jingine ni kumchongea kwa Mwenyekiti Mtarajiwa wa CCM.
Vyovyote iwavyo siuoni mwenendo mzuri katika siku zijazo kwa Askofu huyu. Ni hatari sana pale unapojaribu kujikomba kwa mtu mmoja kwa kumponda mwingine bila ya kuifahamu kwa undani wanapokuwa wamekaa pamoja wawili hao wanaongea vipi na wanaaminiana kwa kiasi gani.
Kiongozi mstaafu siku zote hapungukiwi ushawishi kwa aliyepo pale Magogoni. Askofu alipaswa kupima uzito wa kauli yake ili akwepe kufananishwa na mtu aliyelaaniwa.
Huyu mteuliwa huoni kama jamaa wa dada Halima watakuwa na wakati mwepesi ukizingatia kuwa upo ushahidi wa video za kuwakejeli waislam na askofu Pengo?.Duh...!.
Japo siungi mkono kauli hizi za Gwajima kumtukana Pengo, ila
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
Umetisha mkuutunza ile klip alofika kilele ch kilimanjaro ndani ya sekunde sita, ile ya kumtukana bashite na kumtukana pengo, tutazitumia baadae.