Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Nadhani wewe haustahili kubishana na mimi kwa sababu kwako somo la ufahamu/comprehension ni shida. Unasoma kifungu cha maneno kisha unaelewa tofauti. Mahala gani ktk maoni yangu nimemuita au nimesema Kadinali Pengo MTUKUFU? Hivi unafahamu vizuri mfumo wa kiuongozi wa kanisa katoliki? Mfano rahisi unaokufaa mtu mwenye upeo kama wako ni hili swali: Tangu lini Baraza la mawaziri limekuwa chombo kikubwa kuliko Rais? Nenda katafute taarifa za TEC ni nini na kina mamlaka gani na kinapeleka taarifa za utendaji wake kwa chombo au kiongozi gani katika taratibu za kiuongozi za kanisa katoliki? Je Kadinali anapeleka taarifa zake za kiutendaji kwa TEC? Fuatilia katika tovuti ya Vatican Rome makao makuu ya kanisa katoliki la Roma. Tusipeleke mjadala huu toka kwa Gwajima na Kauli zake Vs wanasiasa au viongozi wengine wa kidini kuwa mjadala wa makanisa na dini. Kwa vile Gwajima kajiingiza ktk siasa naomba tubaki hukohuko kujenga hoja. mambo ya kichochezi hayata tusaidia. Yaani kanisa la misukule basi na akili za baadhi ya waumini kama wewe zinakuwa kama za msukule!!????Angekuwa na sifa kubwa kiasi cha hadi wewe kutaka kumwita mtukufu kwa falsafa yake asingetoa maamuzi kinyume cha baraza kuu la maaskofu (TEC). Pengo si kiongozi wa juu wa kanisa Katoliki Tanzania. Yeye ni mkuu kwa Dar Es Salaam tu. Chombo cha juu kwa nchini ni TEC
Pia nadhani hujui hata nguvu ya YESU haihitaji elimu kubwa ya darasani. Gwajima ni kiongozi wa kanisa lenye matawi America, South America, Uingereza, Ujerumani, Tanzania.
Ukweli ni kwamba swala la Katiba na kuchinja askofu Pengo alikosea kabisaaaa na aliibeba serikali na kukandamiza ukristo