incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Wabongo bwana mwanasiasa anayeongea pumba ndiye anayefuatiliwa sana ila ukiongea logic nobody atakufuatiliaKusema kweli mzee makongoro nyerere hachoshi katika hotuba zake, Huyu mzee kwa mimi binafsi ningetamani sana apate wadhifa wa juu, kwa hii nchi ilivyo kwa sasa inahitaji watu wa aina hii, tunahitaji kuchekeshwa sasa.
Na Tanzania inahitaji watu wa aina hii maisha yenyewe magumu hayaHuyu sio mwanasiasa bali comedian, Mwalim Nyerere, Mkapa na Magufuli hawana watoto wanasiasa.
kabisa yani mzee anachekesha sanaMakongoro nchi za watu wanaojua kutumia vipaji alitakiwa kupewa TV show ya comedy, si uongozi wa siasa.