Mzee Malecela, Mzee Warioba, Dk. Salim, Mzee Msuya, Mzee Butiku mko wapi majadala wa kitaifa kuhusu Bandari?

NCHI Yetu bado ina hazina na viongozi wastaafu, Mzee Samwel John Malecela, Mzee Joseph Sinde Warioba, Mzee David Cleopa Msuya, Dk. Salim Ahmed Salim, Mzee Joseph Butiku mbona mko kimya mjadala unaohusu kuuzwa kwa bandari?

Tunawaomba na ninyi kama wazee wetu mtoe neno kuhusu mkataba huu.

View attachment 2664517
Mzee Msuya

View attachment 2664518
Mzee Malecela

View attachment 2664520
Mzee Warioba

View attachment 2664522
Dk. Salim

View attachment 2664523
Mzee Butiku
WAZEE HAWANA SHIDA MAISHA YAO MATAMU HAWANA HOJA WANAKULA PENSHENI
 
waacheni hao wazee wapumzike jamani.
 
Wapo zao mikocheni beach, kawe beach, masaki, oysterbay wanacheza na wajukuu zao kwenye mahekaru alafu pension zao zinaingia bila wasiwasi wowote na wala hawa washwi washwi
 
NCHI Yetu bado ina hazina na viongozi wastaafu, Mzee Samwel John Malecela, Mzee Joseph Sinde Warioba, Mzee David Cleopa Msuya, Dk. Salim Ahmed Salim, Mzee Joseph Butiku mbona mko kimya mjadala unaohusu kuuzwa kwa bandari?

Tunawaomba na ninyi kama wazee wetu mtoe neno kuhusu mkataba huu.

View attachment 2664517
Mzee Msuya

View attachment 2664518
Mzee Malecela

View attachment 2664520
Mzee Warioba

View attachment 2664522
Dk. Salim

View attachment 2664523
Mzee Butik

WAZEE HAWANA SHIDA MAISHA YAO MATAMU HAWANA HOJA WANAKULA PENSHENI
Msitake kuwatumia wzee wetu kwa mambo yenu ya kipumbavu, pambananei na hali zenu, endeleeni na upotoshaji wenu wa kipuuzi wazee wako na mama yetu Mh. Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan.
 
Ila Sasa Hivi Tanzania Tumevurugwa Mno
Nimefuatilia Jambo La Habibi Serikali Imepata Ganzi Imechukua Vipindi Radio Nyingi
Kutolea Ufafanuzi Ila Nao Hawapo Pamoja Na Ccm

Lexus ya Mh Rais Ruto imekula mweleka, hakuwemo ndani alikuwa angani kwenye hedikopta, Wakenya wanajiuliza Mungu kaleta ujumbe gani?
 
Back
Top Bottom