PostGE2025 Mzee Malisa atoa tamko zito, asema rais Samia ajiuzulu mara moja iundwe serikali ya mpito

PostGE2025 Mzee Malisa atoa tamko zito, asema rais Samia ajiuzulu mara moja iundwe serikali ya mpito

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyo Mzee mbona haeleweki? Si juzi tu alisema yeye ndiyo mwenyekiti wa tume ya maridhiano na baadhi ya Member ni Askofu Emaus Bendekile Mwamakula? na Askofu hajui chochote.

Wananchi walimuonyesha kuwa hawataki maridhiano, kwa hiyo sasa hivi hiyo ni kamati ya "tunaendaje mbele", kitu ambacho binafsi naona hakina neno.
 
Sasa kama wananchi hawataki maridhiano wanataka nini? Ikibidi walazimishwe maridhiano ili nchi isikwame kwenda mbele
Hawajielewi wanataka nini? Awamu zote wao wanazikosoa ..wamenyimwa maisha mazuri na wazazi wao , suruali zao zina viraka wanailaumu serikali! Nonsense
 
Sasa kama wananchi hawataki maridhiano wanataka nini? Ikibidi walazimishwe maridhiano ili nchi isikwame kwenda mbele
Maridhiano hayajengwi kwa kulazimishwa. Kama wananchi hawataki, maana yake ni kwamba kuna hoja zao, malalamiko au matarajio ambayo hayajasikilizwa.

Nchi haisongi mbele kwa kupuuza sauti za wengi, bali kwa kuzijibu. Kazi ya viongozi si kuwabana wananchi wakubali, bali kutengeneza mazingira ya majadiliano yenye usawa ili maridhiano yatokee kwa hiari, vinginevyo kinachopatikana si maridhiano, Bali ukandamizaji unaojificha nyuma ya neno zuri.
 
Hawajielewi wanataka nini? Awamu zote wao wanazikosoa ..wamenyimwa maisha mazuri na wazazi wao , suruali zao zina viraka wanailaumu serikali! Nonsense
Ukosoaji wa wananchi hauhusiani na maisha waliyotoka au waliyo nayo, bali unahusiana na wajibu wa serikali kutoa huduma na kutatua changamoto.

Wananchi wakikosoa, wanaonyesha maeneo yanayohitaji kuboreshwa. Kuwadharau hakujengi Nchi, kuwasikiliza ndiko kunaleta maendeleo.
 
Hawa wanataka tu kutuaminisha kwamba kamati hii inasikiliza wananchi, ila hizi ni drama tu
 
Sasa kama wananchi hawataki maridhiano wanataka nini? Ikibidi walazimishwe maridhiano ili nchi isikwame kwenda mbele
20251116_094701.jpg
 
Sasa kama wananchi hawataki maridhiano wanataka nini? Ikibidi walazimishwe maridhiano ili nchi isikwame kwenda mbele
Hawajielewi wanataka nini? Awamu zote wao wanazikosoa ..wamenyimwa maisha mazuri na wazazi wao , suruali zao zina viraka wanailaumu serikali! Nonsense
Maxence Melo unatukoseha sana kwa kuwaruhusu watu Hawa kututoneaha vidonda vyetu kupitia JF
 
Bwakara( bumekuwa bukari)!! Au "Imbombo ngafu"!!!! Zalahaa eza akikaale( la mgambo limelia) !! Aikuchumla nayokya ondi (anayechomoa kijinga kwenye meko anamdunga nacho mwingine)!!!

Kwata Empumbya ( shikilia uokozi tusizame!!)
===
Clip ya Mzee Malisa imeninenesha kwa lugha!!
 
Sasa kama wananchi hawataki maridhiano wanataka nini? Ikibidi walazimishwe maridhiano ili nchi isikwame kwenda mbele
Wakae wasikilize GeZ wanataka nini mbona jambo simpo sana Maridhiano ya Utapeli ndo watu hawataki Usicheze na Nguvu ya Umma na sasa hivi Serikali ina maadui wengi hapa ni Busara kutumika
 
Back
Top Bottom