PostGE2025 Mzee Malisa atoa tamko zito, asema rais Samia ajiuzulu mara moja iundwe serikali ya mpito

PostGE2025 Mzee Malisa atoa tamko zito, asema rais Samia ajiuzulu mara moja iundwe serikali ya mpito

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sasa kama wananchi hawataki maridhiano wanataka nini? Ikibidi walazimishwe maridhiano ili nchi isikwame kwenda mbele
Wakae wasikilize GeZ wanataka nini mbona jambo simpo sana Maridhiano ya Utapeli ndo watu hawataki Usicheze na Nguvu ya Umma na sasa hivi Serikali ina maadui wengi hapa ni Busara kutumika
 
Wananchi walimuonyesha kuwa hawataki maridhiano, kwa hiyo sasa hivi hiyo ni kamati ya "tunaendaje mbele", kitu ambacho binafsi naona hakina neno.
Kabla ya yote lazima wakubali hakukuwa na uchaguzi hivyo viongozi wote waliochaguliwa ni batili.

Hakuna maridhiano kabla ya kubatilisha huu uchaguzi.

1. Yeye aubatilishe,
2. aivunje tume ya uchafuzi
3. Afute utumishi wa CDF,IGP,DIS, RPCs & RCs wote kulipotokea vurugu. 4.ajiuuzulu nafasi ya rais.
5. Mpango akaimu nafasi ya urais
6. Awaachie wote waliokamatwa kabla na maada ya maandamano na kurejesho wote waliopotea.
7. Tume ya uchunguzi iuendwe
8. Tume ya mashtaka na maridhiano.
9. Katiba mpya na sheria za uchaguzi zirekebishwe( hapa sio lazima wabunge wakae na kupitisha) tunaweza chagua wajumbe tukawapa hata cheo cha ubunge kupitisha hizo sheria.
10. Uchaguzi ufanyike upya. Mpango asiwe sehemu ya kugombea nafasi.

Wahuni wote, lazima wakutane na mkono wa sheria. Mardhiano sio kuwaacha tu.
 
Anakoelekea huyu atadai uhuru wa Kilimanjaro.
 
Ukosoaji wa wananchi hauhusiani na maisha waliyotoka au waliyo nayo, bali unahusiana na wajibu wa serikali kutoa huduma na kutatua changamoto.

Wananchi wakikosoa, wanaonyesha maeneo yanayohitaji kuboreshwa. Kuwadharau hakujengi Nchi, kuwasikiliza ndiko kunaleta maendeleo.
Uchochezi wa vurugu ndo jinsi ya kuikosoa serikali? Mtakufa vibaya
 
Uchochezi wa vurugu ndo jinsi ya kuikosoa serikali? Mtakufa vibaya
Hakuna aliyezungumzia vurugu. Kutishia watu kifo kwa sababu ya maoni yao siyo hoja, ni dalili ya kutokujua majukumu ya uongozi na uwajibikaji. Serikali imara inajengwa kwa hoja na siyo kuwatia wananchi wake hofu.
 
Hofu mnajitia nyie
 
Samuya hatakiwi kujiuzulu, anatakiwa kuuawa akiwa na hicho hicho cheo.

Akijiuzulu itakuwa ni dharau nyingine kwa watanganyika
Ukweli mchungu, hakuna litakalotokea kwenye hayo uliyoyamention

Tuendelee kujipa hope
 
Huyo Mzee mbona haeleweki? Si juzi tu alisema yeye ndiyo mwenyekiti wa tume ya maridhiano na baadhi ya Member ni Askofu Emaus Bendekile Mwamakula? na Askofu hajui chochote.
Mkuu,

Kwani hawezi kuwa mwenyekiti wa tume ya maridhiano ambayo inataka jambo la kwanza katika maridhiano liwe ni kujiuzulu kwa Samia?

Yani unaona maridhiano hayawezekani bila Samia kuwa rais?
 
Sasa kama wananchi hawataki maridhiano wanataka nini? Ikibidi walazimishwe maridhiano ili nchi isikwame kwenda mbele
Mtumie ubabe again? Yaan hakuna kubembelezana si ndio unasema hakuna nywinywinywi watu hawa hapa barabarani... gari limewaka

D9
 
Back
Top Bottom