Kabla ya yote lazima wakubali hakukuwa na uchaguzi hivyo viongozi wote waliochaguliwa ni batili.
Hakuna maridhiano kabla ya kubatilisha huu uchaguzi.
1. Yeye aubatilishe,
2. aivunje tume ya uchafuzi
3. Afute utumishi wa CDF,IGP,DIS, RPCs & RCs wote kulipotokea vurugu. 4.ajiuuzulu nafasi ya rais.
5. Mpango akaimu nafasi ya urais
6. Awaachie wote waliokamatwa kabla na maada ya maandamano na kurejesho wote waliopotea.
7. Tume ya uchunguzi iuendwe
8. Tume ya mashtaka na maridhiano.
9. Katiba mpya na sheria za uchaguzi zirekebishwe( hapa sio lazima wabunge wakae na kupitisha) tunaweza chagua wajumbe tukawapa hata cheo cha ubunge kupitisha hizo sheria.
10. Uchaguzi ufanyike upya. Mpango asiwe sehemu ya kugombea nafasi.
Wahuni wote, lazima wakutane na mkono wa sheria. Mardhiano sio kuwaacha tu.