Wakae wasikilize GeZ wanataka nini mbona jambo simpo sana Maridhiano ya Utapeli ndo watu hawataki Usicheze na Nguvu ya Umma na sasa hivi Serikali ina maadui wengi hapa ni Busara kutumikaSasa kama wananchi hawataki maridhiano wanataka nini? Ikibidi walazimishwe maridhiano ili nchi isikwame kwenda mbele
Kabla ya yote lazima wakubali hakukuwa na uchaguzi hivyo viongozi wote waliochaguliwa ni batili.Wananchi walimuonyesha kuwa hawataki maridhiano, kwa hiyo sasa hivi hiyo ni kamati ya "tunaendaje mbele", kitu ambacho binafsi naona hakina neno.
Hivo vidonda aliwasababishia nani ..si mlivitaka kwa ujuha wenu mso haya wala hamjui vibayaMaxence Melo unatukoseha sana kwa kuwaruhusu watu Hawa kututoneaha vidonda vyetu kupitia JF
Uchochezi wa vurugu ndo jinsi ya kuikosoa serikali? Mtakufa vibayaUkosoaji wa wananchi hauhusiani na maisha waliyotoka au waliyo nayo, bali unahusiana na wajibu wa serikali kutoa huduma na kutatua changamoto.
Wananchi wakikosoa, wanaonyesha maeneo yanayohitaji kuboreshwa. Kuwadharau hakujengi Nchi, kuwasikiliza ndiko kunaleta maendeleo.
Hakuna aliyezungumzia vurugu. Kutishia watu kifo kwa sababu ya maoni yao siyo hoja, ni dalili ya kutokujua majukumu ya uongozi na uwajibikaji. Serikali imara inajengwa kwa hoja na siyo kuwatia wananchi wake hofu.Uchochezi wa vurugu ndo jinsi ya kuikosoa serikali? Mtakufa vibaya
Acha ubinafsiMzee mpumbavu sana
Na we pia ni mpuuzi!Acha ubinafsi
nyie ni watu gani msiotaka maridhiano? Maridhiano ndio mpango mahsusi kuliponya taifaMaxence Melo unatukoseha sana kwa kuwaruhusu watu Hawa kututoneaha vidonda vyetu kupitia JF
Hofu mnajitia nyieHakuna aliyezungumzia vurugu. Kutishia watu kifo kwa sababu ya maoni yao siyo hoja, ni dalili ya kutokujua majukumu ya uongozi na uwajibikaji. Serikali imara inajengwa kwa hoja na siyo kuwatia wananchi wake hofu.
Ukweli mchungu, hakuna litakalotokea kwenye hayo uliyoyamentionSamuya hatakiwi kujiuzulu, anatakiwa kuuawa akiwa na hicho hicho cheo.
Akijiuzulu itakuwa ni dharau nyingine kwa watanganyika
Kivipi? Fafanua.Hofu mnajitia nyie
Mkuu,Huyo Mzee mbona haeleweki? Si juzi tu alisema yeye ndiyo mwenyekiti wa tume ya maridhiano na baadhi ya Member ni Askofu Emaus Bendekile Mwamakula? na Askofu hajui chochote.
HahahaUkweli mchungu, hakuna litakalotokea kwenye hayo uliyoyamention
Tuendelee kujipa hope
Mtumie ubabe again? Yaan hakuna kubembelezana si ndio unasema hakuna nywinywinywi watu hawa hapa barabarani... gari limewakaSasa kama wananchi hawataki maridhiano wanataka nini? Ikibidi walazimishwe maridhiano ili nchi isikwame kwenda mbele